Makapuku Forum

Pole sana
Awamu hii ni kukamuana tu
Kuna kodi kibao zisizo rasmi

.......
 
Niger fowadi yao inasogea mbele (attack) hivyo ni rahisi kumfunga Mali.
Angola, beki yao mbofu inakubali kufungwa hivyo tutaweza mfunga na akafungwa na Mali pia.
Je Niger kwetu itakuwaje?
Fowadi yetu sio nzuri saanaa hivyo ushindi ni mfinyu.
Beki yetu na kipa ziko vizuri sana kasoro beki mbili.
Mungu ibariki Serengeti boys the new kamazi.
 
Mkuu Mali ndiye bingwa mtetrzi na ni timu bora kindi B
Fowadi ya Serengeti Boys ipo vizuri tu sema jama kutokana na ubora wa Mali ilibidi tuvheze kwa kujihami la sivyo tungepigwa zaidi ya goli 3
.
Niger ni Waziri kikawaida kilichowafanya Jana waonekane tishio ni udhaifu wa Angola ila sioni km ana jeuri ya kumfunga Mali
.
Kinachotakiwa ni mechi ijayo timfinge Angola halafu bila kujali matokeo kati ya Mali v Niger ...mechi ya Mwisho tunakomaa na Niger na kuwafunga au hata kutafuta safe(kitu ambacho kinawezekana kabisa)
Kisha biashara imekwisha tunaenda World Cup
Hili kundi B ndo "rahisi" kuliko tungekuwepo kundi A
Kinachofurahosha zaidi mdogo wanacheza kwa nidhamu Jana wamepigwa kadi 1 tu wakati Mali wamepigwa kadi 3
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…