Makapuku Forum

Duh hii habari ya Malima Mkuli atasema kuandika front page ni uchochezi
.
.
Shukrani kwa magazeti
.......
Poa poa bitoz

Kuna mtu jana anasema awamu hii haina kujuanna

Jana hawa watu wa majembe wameniumiza huko huko masaki sh 50,000 nilikuwa ndani ya gari naongea na simu, huwezi amini nilifuatwa kama jambazi aisee

Baadaye nasikia na malima naye yamemkuta
 
Kundi hili sio maarufu sana lakini ni kundi hatari.
1: Uwezo wao unalingana/fanana
2: Bingwa (mshindi)atapatikana kwa points chache.
3: Head to head inaweza kutumika
Mkuu nimeangalia mechi zote
Nimegundua Mali ndo timu hatari zaidi
Angola siyo wazuri sana wana tatizo kubwa safi ya ulinzi kule nyuma kunavuja na tunaweza kabisa kuwafunga mechi ijayo
Niger nao ni shida wanacheza soka la kushambulia kilichowaponza Jana ni kushindwa "kuua mechi" kwa kupoteza nafasi za wazi kabisa

Mechi ijayo tukimfinga Angola mambo yatakuwa safi kabisa
.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…