Haya njoo. Nitakusaidia kwa kila kitu. I hope utamruhusu Husna anitibu jino langu![]()

Baby hawa VP?! Mbon wanakuandama sana?nawewe tena![]()
![]()

Aisee sidhani km nitakuja kumuuzi shedede wanguKucheka ni tiba. Cheka tena na tena. Hata Husna akikuudhi we cheka tu![]()
khaaa sasa ninge shurutishwa ungenipa penshenikwa kuwa umeamua mwenyewe kwa akili zako bila kushurutishwa na shimba wa buyenzee nooo na mtu yeyote ..hutopata kiinua mgongo wala penshenii

khaaaa ame-take risky gani hapo mimi ndo nimeamua kwa akili zangu pasi na shuruti wala mtutuWakati mwingine nanyi matajiri mnapotaka kuajiri hata kama ni walinzi mfanye background check jamani. Hii itawaepusha na vioja kama hivi. Seriously, mlinzi wako huyo alikuwa kioja aisee. Na huyu ndiye ulimkabidhi uhai wa mkeo, na wanao? Una bahati sana!
Na kweli Husna. Kuiudhi hiyo njemba ni hatari hasa kama masilaha yale ya kazi ya ulinzi bado yapo around hapo home. Itakuwa suicideAisee sidhani km nitakuja kumuuzi shedede wangu



hahahaha...ha nazani saivi atakuwa huru sana msukuma make nilimbana mpaka salamu hadi awasiliane na mimi kwanza ...ahahahaaaaa sema alikubana kila angle...
goodmorning lakini

tunakupenda pia nenda kajenge taifaKunakucha. Tumshukuru Muumba wetu. Siku ya leo basi Muumba na Akatuwezeshe kutenda yaliyo mema machoni pake. Na zaidi ya yote tukaweze kuwasaidia wenzetu wenye shida ili kupitia kwetu wakaweze kuuonja upendo wa Muumba wao. Love you guys. I will be off the internet for at least 8 hrs.Tutaonana jioni Mungu Akipenda. Muwe na siku njema!![]()
There is no free lunch under the sun, son. Dawa ya meno anayo na mashamba niwape bure, kwa nini "asinitibu?" na mimi?

Aaaa wapi? Mlinzi mwenyewe alikuwa anapotea mpaka hata wiki haonekani lindoni. Sema tu nilihamishia "mashambulizi" Kigali na Uhabeshi. Hata sasa niko safarini kuelekea huko KIKAZI.![]()

Shunie ni mwanamke huru kifikra na kimtazamo. Heshima kwa mumewe haimzuii kusalimiana na kaka zake kisa eti kaogopa sime na marungu ya mlinzi - mlinzi mwenyewe mtoro. Come on man!hahahaha...ha nazani saivi atakuwa huru sana msukuma make nilimbana mpaka salamu hadi awasiliane na mimi kwanza ...![]()
asante mkuu uwe na siku njema mkuuMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa
Mtoto wa Mao (Lee) nawatakieni wote jumatatu njema
wanawivu mimi kukupata bby wanguBaby hawa VP?! Mbon wanakuandama sana?![]()
Na kweli Husna. Kuiudhi hiyo njemba ni hatari hasa kama masilaha yale ya kazi ya ulinzi bado yapo around hapo home. Itakuwa suicide![]()

Na kweli Husna. Kuiudhi hiyo njemba ni hatari hasa kama masilaha yale ya kazi ya ulinzi bado yapo around hapo home. Itakuwa suicide![]()

Karibu Addis Ababa ujionee Wahabesh. Tena hapa ofisi za AU wanatafuta walinzi. Shida ni lazima wawe ex military au police. Sasa wewe na hizo sime na marungu sijui kama uta-qualify. Kama unataka kujaribu sema nikupe link ya application ujaribu. You never know. Nitakupa review nzuri wakitaka reference.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kwaiyo ndo nime-take risky kuacha kazi sio
wewe ndo ulikuwa mstari wa mbele kunuchongea ati niachishwe kazi sasa nimeacha bado unang'aka ...![]()
![]()
![]()
mtoro wakati nilikuwa na kubana hadi unaona keloShunie ni mwanamke huru kifikra na kimtazamo. Heshima kwa mumewe haimzuii kusalimiana na kaka zake kisa eti kaogopa sime na marungu ya mlinzi - mlinzi mwenyewe mtoro. Come on man!
