Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msukuma ukuje unahitajika huku
Nimeshawajibu. Mashamba yapo na nitawapa bure. Tena na mitambo ya umwagiliaji ilishafungwa tayari. Watu wenyewe hao wazembe wazembe kilimo kweli watakiweza? May be waje niwaajiri kuwa walinzi wa mashamba yangu. Nitawapa na jeep kabisa ya kuzunguka nayo wakiwa lindoni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Barua ya hovyo kabisa hii kuwahi kuandikwa. Hivi siku hizi darasa la 4 huko primary school hawafundishi uandishi wa barua za kikazi? Umli my foot!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

umenifanya nimecheka kwa sauti

lakini ujumbe umemfikia mlengwa
 
Nimeshawajibu. Mashamba yapo na nitawapa bure. Tena na mitambo ya umwagiliaji ilishafungwa tayari. Watu wenyewe hao wazembe wazembe kilimo kweli watakiweza? May be waje niwaajiri kuwa walinzi wa mashamba yangu. Nitawapa na jeep kabisa ya kuzunguka nayo wakiwa lindoni[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

sio kwa kutudhalau kiivyo msukuma
 
abad5a88513aa36de859a6a04d5c94af.jpg
Hapa wanasayansi kuna kitu wanaficha. Haya mapiramidi yalijengwaje? Kuna mawe yana uzito wa mpaka tani 30 na yanaonekana kama vile yamekatwa kwa moto (lasers). Isitoshe, Wamisri hawa wa kale waliwezaje kuyapandisha juu mpaka ghorofa ya 14 huko bila mashine yo yote? Wanasema eti ni kamba na nguvu za watumwa lakini wakijaribu ku-replicate leo hii hawawezi mpaka walete mawinchi tena yale mega.

Wakati mwingine mtu unaweza hata kuungana na watu wa conspiracies wanaodai kwamba yote haya yaliwezekana kutokana na teknolojia ya hali ya juu iliyokuwepo wakati ule, teknolojia ambayo baadaye ilipotea baada ya binadamu wa wakati ule kuangamia. Teknolojia hii hii (anti-gravity ~ lavitation) ndiyo ilitumiwa kuhamisha mawe mazito ya Stonehenge kule Uingereza kwa umbali unaozidi maili 200 mpaka hapo yalipo sasa.
 
Back
Top Bottom