Makapuku Forum

Makapuku Forum

jino limekuuma wee sasa hasira unamalizia kwangu
Silaha hazipo nyumbani. Shunie hajaziona. Boss ndo hata fununu hana. Kwenye barua ya kuacha kazi hujasema silaha ziko wapi. Unasema eti ulimpa Shululu. Shululu naye anakana kuwa hujampa na hana habari nazo. Sasa ziko wapi kama hutembei nazo? Rudisha silaha za watu please. Ni ulimbukeni kutembea na sime na marungu barabarani hasa kama siyo Mmasai. Geez!
 
karibu sana mkuu

pia hii ni barua yangu

YAH: KUACHA KAZI
Kchwa cha habari taja hapo juu nimeamua kwa akili yangu mwenyewe kuacha kazi kwasababu zifwatazo
umli
-kama unavyojua boss umli wangu umekwenda kwakweli miezi 2 mizima nakulindia mke kwakweli boss nimechoka

mke
-na ndio kilichofanya nikuandikie barua hii boss nimeamua kuoa boss nimeona umli unaenda ukizingatia sina hata mtoto mmoja boss ......the end

wako mtiifu katika kazi
 
Silaha hazipo nyumbani. Shunie hajaziona. Boss ndo hata fununu hana. Kwenye barua ya kuacha kazi hujasema silaha ziko wapi. Unasema eti ulimpa Shululu. Shululu naye anakana kuwa hujampa na hana habari nazo. Sasa ziko wapi kama hutembei nazo? Rudisha silaha za watu please. Ni ulimbukeni kutembea na sime na marungu barabarani hasa kama siyo Mmasai. Geez!

nashukuru maana nimecheka hadi nimekaa
 
Silaha hazipo nyumbani. Shunie hajaziona. Boss ndo hata fununu hana. Kwenye barua ya kuacha kazi hujasema silaha ziko wapi. Unasema eti ulimpa Shululu. Shululu naye anakana kuwa hujampa na hana habari nazo. Sasa ziko wapi kama hutembei nazo? Rudisha silaha za watu please. Ni ulimbukeni kutembea na sime na marungu barabarani hasa kama siyo Mmasai. Geez!
Haaaaahaaaa, eti alinikabidhi sijui lini, shunie mwenyewe hanitaki kabisa
 
ZABURI 121

1.Nitayainua macho yangu niitazame milima,Msaada wangu utatoka wapi?

2.Msaada wangu u katika BWANA,Aliyezifanya mbingu na nchi.

3.Asiuache mguu wako usogezwe,Asisisinzie akulindaye.

4.Naam,hatasinzia wala hatalala usingizi.Yeye aliye mlinzi wa Israeli.

5.BWANA ndiye mlinzi wako;BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume.

6.Jua halitakupiga mchana,Wala mwezi wakati wa usiku.

7.BWANA atakulinda na mabaya yote ,Atakulinda nafsi yako.

8.BWANA atakulinda utokapo na uingiapo,Tangu sasa na hata milele.

TUOMBE

Mwenyezi Mungu
Asante kwa ajili ya leo
Tunaomba uzidi kuwa nasi
Tutakase makosa yetu
Kutana na haja za mioyo yetu
Tukumbatie kama kuku akumbatiavyo vifaranga
Malaika walinzi waweke vituo katika nyumba na vitanda vyetu ,watuzunguke
Wakeshe pamoja nasi
Naenda kinyume na nguvu zote za giza
Damu ya Yesu itufunike
Asante maana utatenda zaidi ya tunavyoomba
Katika jina la Yesu Kristo
Tunaomba na kuamini
Amen

USIKU MWEMA WAPENDWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom