Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Kweli mkuu naona mikopo inavyo wahangaisha watu mtaani wanafanya kazi ya kuhamisha madenUnakuwa unafanyia mkopo tu
Kweli mkuu naona mikopo inavyo wahangaisha watu mtaani wanafanya kazi ya kuhamisha madenUnakuwa unafanyia mkopo tu
Pamoja mkuunjema kabisa mkuu
Ndo hivyo mkuu alichukua kama M na pointBond kiwanja aisee
karibu tenaHa ha ha.... Ndo nimeshaludi tyr best
hahahhh shedede anahusika vipi hapoCc shedede
Kweli kiongozi hivi juzi ndo tumeanza kuangalia namna ya kumwezeshaaisee pole yake unapo chukua mkopo bank lazima uwe na vision aisee ukienda kichwa kichwa utaishia kukimbia deni tu
Ndio na amerudi nyuma zaidi ya alipo kuwasasa hapo kiwanja kimechukuliwa na bank na pesa hajaifanyia kitu
Pamoja papaSafi sana
Kuna pyramid moja imegunduliwa Egypt ina undergroundDID YOU KNOW ?![]()
moja ya ajabu sanaAone maswali yalivyokuwahahahhh shedede anahusika vipi hapo
Ndio mkuu tufafanulie kidogohahaha..ha naona nimeongea jambo limeleta utata ..
Full makanjanjaKwema kiongozi,za pande hizo