Makapuku Forum

Makapuku Forum

Makapuku. Jino langu moja wameliwekea permanent crown. Ni process rahisi lakini kulikuwa na bleeding kwenye gums kidogo ikaleta matatizo. Process ya robo-nusu saa ikachukua karibu masaa matatu. Lakini eventually everything went well.

Binadamu sisi yani we acha tu. Jino tu likichachamaa mtu hoi. Kutokana na sababu hii sitaweza kuanzisha zile series zangu mbili nilizomwahidi Obe jana. Nitazianzisha J'3 mambo yakienda sawa sawa.

Ukienda mahospitalini huko kuna watu wana magonjwa ya kutisha sana. Wewe kama uko mzima hapo mshukuru Mungu kwa baraka zake; na acha kulalamika kuhusu vitu vidogo vidogo ambavyo wala havina tija in the grand scheme of things. Mbarikiwe sana wapendwa!
aef0c1ed2127d449583b897c97e585cb.jpg
Pole sana mkuu SHIMBA YA BUYENZE NAJUA MUNGU ANAFANYA KITU KWAKO UPONYAJI NI LAZIMA NAMWOMBA MUNGU AKUSIMAMIE KATIKA MATIBABU YAKO,UPONE LIPO TUMAINI TUNAPOMTEGEMEA

AMINI NA SIMAMA KATIKA NAFASI YAKO UKIMTEGEMEA :

ISAYA 53

5. Bali alijeruhiwa kwa
makosa yetu Alichubuliwa kwa maovu yetu adhabu ya amani yetu ilikua juu yake,Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona...

KUTOKA 23

25 Nanyi mtamtumikia BWANA,Mungu wenu naye atakibariki chakula chako ,na maji yako nami nitakuondolea ugonjwa kati yako

26.Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba,wala aliye tasa.katika nchi yako na hesabu ya siku zako nitaitimiza.

JEREMIA 30

17.Maana nitakurudishia afya ,nami nitakuponya jeraha zako,asema BWANA ,kwa sababu wamekuita mwenye kutupwa wakisema ni Sayuni ambao hamna mtu autakaye

JEREMIA 17

14. UNIPONYE,EE BWANA NAMI NITAPONYEKA,UNIOKOE NAMI NITAOKOKA,KWA MAANA WEWE NDIYE SIFA ZANGU.

NAKUTAKIA UPONYAJI WA MWILI NA ROHO DAMU YA YESU INENE MEMA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom