shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kanda gani hiyoAganza umeona eeh! Wengine huwa wanakasirika lakini mimi nikiona picha hizi tukitaniwa huwa nafurahi na kucheka sana. Zingine ziko very creative...![]()
Kanda gani hiyoAganza umeona eeh! Wengine huwa wanakasirika lakini mimi nikiona picha hizi tukitaniwa huwa nafurahi na kucheka sana. Zingine ziko very creative...![]()
napenda ulivyo muelewa sana bby i forever loving youThanks bae
hahah ila kuna ka ukweliSio ndogo
hahahhah itakua sudan aiseeNchi gani hiyo shemela
Goodnight bro, ugua poleMakapuku. Naona pain medication imeanza kuisha kwa sababu nasikia jino limeanza kusumbua. Ngoja nilale. Asanteni nyote kwa maongezi murua. Mpaka nilijisahau kama nina maumivu ya jino. You guys are like a family to me. Shedede na Husna (the newest Makapuku couple) kila la heri katika urafiki wenu. Shunie, I hope you feel better. Pray! Mungu Akipenda basi tusemeshane kesho. Goodnight!![]()
Kama mguu wa kukuRaha tyu
Mmh mama mchuchu jeMtoto vipi huyo?
Khaaaaaa cc.tumosaKanda gani hiyo
Woyoooooooo watu na baby zaonapenda ulivyo muelewa sana bby i forever loving you
Pole shemela, msukuma ana ng'ombe, sasa zinamchanganya sanamsukuma angejua sipo sawa kichwa changu kimevurugwa asingeongea hivyo
Namuuliza msukuma coz anapenda ma-white!!!Mmh mama mchuchu je
Nawe piaMakapuku. Naona pain medication imeanza kuisha kwa sababu nasikia jino limeanza kusumbua. Ngoja nilale. Asanteni nyote kwa maongezi murua. Mpaka nilijisahau kama nina maumivu ya jino. You guys are like a family to me. Shedede na Husna (the newest Makapuku couple) kila la heri katika urafiki wenu. Shunie, I hope you feel better. Pray! Mungu Akipenda basi tusemeshane kesho. Goodnight!![]()
hahhahah sasa mm ngombe zake zinanihusu niniPole shemela, msukuma ana ng'ombe, sasa zinamchanganya sana
Yako poa, unapotea sana aiseepowa kamanda vip makukumu
hahhaha aisee mbona tofaut na ulivyoulizaNamuuliza msukuma coz anapenda ma-white!!!
nimesema tu shemela hata sipajuiUlishawahi fika huko,
Shemela umetisha![]()
![]()
![]()
![]()

