Pole sana mkuu SHIMBA YA BUYENZE NAJUA MUNGU ANAFANYA KITU KWAKO UPONYAJI NI LAZIMA NAMWOMBA MUNGU AKUSIMAMIE KATIKA MATIBABU YAKO,UPONE LIPO TUMAINI TUNAPOMTEGEMEA
AMINI NA SIMAMA KATIKA NAFASI YAKO UKIMTEGEMEA :

ISAYA 53
5. Bali alijeruhiwa kwa
makosa yetu Alichubuliwa kwa maovu yetu adhabu ya amani yetu ilikua juu yake,Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona...

KUTOKA 23
25 Nanyi mtamtumikia BWANA,Mungu wenu naye atakibariki chakula chako ,na maji yako nami nitakuondolea ugonjwa kati yako
26.Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba,wala aliye tasa.katika nchi yako na hesabu ya siku zako nitaitimiza.

JEREMIA 30
17.Maana nitakurudishia afya ,nami nitakuponya jeraha zako,asema BWANA ,kwa sababu wamekuita mwenye kutupwa wakisema ni Sayuni ambao hamna mtu autakaye

JEREMIA 17
14. UNIPONYE,EE BWANA NAMI NITAPONYEKA,UNIOKOE NAMI NITAOKOKA,KWA MAANA WEWE NDIYE SIFA ZANGU.
NAKUTAKIA UPONYAJI WA MWILI NA ROHO DAMU YA YESU INENE MEMA