Makapuku Forum

Makapuku Forum

kwanini asinielewe na nishapata mwenza wangu ......kila kazi inamipaka siwezi kumlinda shunie wakati ninaye wakulinda na anaitaji pendo langu na kukaanae karibu muda wote iyo kazi nakuachia wewe virago vyangu vyote ........chukua .......
Yangu macho
hahhaha atamuelewa hakuna namna huyu nae ni mwanaume anahitaji kuliwazwa
akikataa akimwambia boss nikimchukua shunie usilalamike mana hamu zinazidi atafanyaje
 
kwanini asinielewe na nishapata mwenza wangu ......kila kazi inamipaka siwezi kumlinda shunie wakati ninaye wakulinda na anaitaji pendo langu na kukaanae karibu muda wote iyo kazi nakuachia wewe virago vyangu vyote ........chukua .......
shedede subili kwanza uongee na boss wako pls niskilize mm ndio niliyekupa mke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom