Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Kazi ipoMambo ya mkorogo
![]()
Kazi ipoMambo ya mkorogo
![]()
*Muhindi 1 alibadili dini na mchungaji akamwambia kila unapokula usisahau kusali sala ya baba yetu, la sivyo utakua unakula na shetani. Basi yule muhindi kuna kipindi alisahau kusali kwa miezi miwili , SHETANI akamfuata Mchungaji akamwambia mkumbushe muhindi Kusali maana ataniuwa kwa pili pili!*
![]()

Pole ndugu SHIMBA.....Powa.....That's trueMakapuku. Jino langu moja wameliwekea permanent crown. Ni process rahisi lakini kulikuwa na bleeding kwenye gums kidogo ikaleta matatizo. Process ya robo-nusu saa ikachukua karibu masaa matatu. Lakini eventually everything went well.
Binadamu sisi yani we acha tu. Jino tu likichachamaa mtu hoi. Kutokana na sababu hii sitaweza kuanzisha zile series zangu mbili nilizomwahidi Obe jana. Nitazianzisha J'3 mambo yakienda sawa sawa.
Ukienda mahospitalini huko kuna watu wana magonjwa ya kutisha sana. Wewe kama uko mzima hapo mshukuru Mungu kwa baraka zake; na acha kulalamika kuhusu vitu vidogo vidogo ambavyo wala havina tija in the grand scheme of things. Mbarikiwe sana wapendwa!![]()
Pole sana shimba ya buyenzeMakapuku. Jino langu moja wameliwekea permanent crown. Ni process rahisi lakini kulikuwa na bleeding kwenye gums kidogo ikaleta matatizo. Process ya robo-nusu saa ikachukua karibu masaa matatu. Lakini eventually everything went well.
Binadamu sisi yani we acha tu. Jino tu likichachamaa mtu hoi. Kutokana na sababu hii sitaweza kuanzisha zile series zangu mbili nilizomwahidi Obe jana. Nitazianzisha J'3 mambo yakienda sawa sawa.
Ukienda mahospitalini huko kuna watu wana magonjwa ya kutisha sana. Wewe kama uko mzima hapo mshukuru Mungu kwa baraka zake; na acha kulalamika kuhusu vitu vidogo vidogo ambavyo wala havina tija in the grand scheme of things. Mbarikiwe sana wapendwa!![]()
Mpira umeisha au bado
Haaaaahaaaa
Ukweli mchungu
Huyu sio Lampard kweli jmn!?9/Paul McCartney & Heather Mills![]()
Hii harusi ilifungwa huku ikiburudishwa na madansa wa tamaduni za kihinfi
Ilifungwa ufukweni huku jahazi pekee likigharimu USD 19,000
......
Duh mwezi na ushee sasa bado mambo magumuMakapuku. Jino langu moja wameliwekea permanent crown. Ni process rahisi lakini kulikuwa na bleeding kwenye gums kidogo ikaleta matatizo. Process ya robo-nusu saa ikachukua karibu masaa matatu. Lakini eventually everything went well.
Binadamu sisi yani we acha tu. Jino tu likichachamaa mtu hoi. Kutokana na sababu hii sitaweza kuanzisha zile series zangu mbili nilizomwahidi Obe jana. Nitazianzisha J'3 mambo yakienda sawa sawa.
Ukienda mahospitalini huko kuna watu wana magonjwa ya kutisha sana. Wewe kama uko mzima hapo mshukuru Mungu kwa baraka zake; na acha kulalamika kuhusu vitu vidogo vidogo ambavyo wala havina tija in the grand scheme of things. Mbarikiwe sana wapendwa!![]()
Hata mimi sijajuaHuyu sio Lampard kweli jmn!?
Unapenda kuvunja mifupa sana eehDuh mwezi na ushee sasa bado mambo magumu
Pole sana
.
.
.
Mi jino moja la chini lilinisumbua nikaenda Kairuki likakutwa limetoboka kidogo dokta akaliziba hiyo ni mwaka jana ...sasa mwezi March nikajisahau nikataka kuuvinja mfupa wakati nakula nikapeleka kwenye jino lilelile aisee nikajitonrsha nikarudi tena kwa Dr now nipo poa maan halikuharibika sana hivyo hakukuwa na sababu ya msingi kung'oa
Km upo Dar kajaribu pale kitengo cha meno wapo poa na vifaa vizuri tu
.......

. Niko somewhere nje ya Bongo. Nina dentist rafiki yangu wa siku nyingi nikiwa na ishu za meno huwa naenda kwake. Ana facility nzuri na vifaa vya kisasa kabisa. Ndiyo maana tukaambiwa kuwa operesheni yo yote ni risky. Kioperesheni kidooogo complications zinatokea mtu unakwenda. Joan Rivers yule mama wa show ya Fashion Police alikwenda kutoa tonsils- kioperesheni kidogo cha dakika tano lakini akaishia kufariki.

Pole mdau, jino kuuma na tiba zake ni noma. Nami najipanga root canal kasheshe.Makapuku. Jino langu moja wameliwekea permanent crown. Ni process rahisi lakini kulikuwa na bleeding kwenye gums kidogo ikaleta matatizo. Process ya robo-nusu saa ikachukua karibu masaa matatu. Lakini eventually everything went well.