6/
Nimitz Class Aircraft Carrier
Hii ndo meli kubwa zaidi ya kubebea zana za kivita duniani
Iligharimu USD 4.5 billion kutengenezwa...ina uwezo wa kutumia km kiwanja cha ndege za kivita kutua, kujaza mafuta, marubani kupumzika n.k
Inaweza kubeba ndege 90 za kivita
Mmarekani kaamua kuiga anatengeneza yake inayoitwa The Gerald Ford Class Aircraft Carrier' itagharimu USD 12 bilioni (si mnawajua Marekani kwa kuzidisha mahesabu wanaweza kusepa chupi ya Trump imeshonwa kwa dola 100000 ili tu iingie kwenye rekodi)
.........