shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Pia anajali sana familia yakeHuwa nampenda sana Omotola yuko makini kwenye kazi yake
Pia anajali sana familia yakeHuwa nampenda sana Omotola yuko makini kwenye kazi yake
hahahhh kule hakuna uchungaji yaan nikiona comments zake nacheka sanaHaaaaahaaaa, uchungaji kwishine
Yuko vizuri8/Toolz![]()
![]()
Jina lake halisi ni Tolu Oniru
Ni mwendeshaji wa vipindi vya redio na luninga machachari huko nchini Nigeria
Ana elimu ya Shahada ya kwanza(Degree in Business and Mass Communication)
.........
Kweli kabisaMuongoooooo
Safi sana7/Vee S Beib![]()
![]()
Huyu ni binti wa Kikenya ambaye jina lake halisi ni Vera Sidika
Ni mpendezeshaji wa video za wanamuziki mbalimbali(Video vixien)
Anaonekana zaidi kwenye video za kundi la hip hop huko Kenya liitwalo P-Unit
........
Ni kwenye ule uzi wakohahahhh kule hakuna uchungaji yaan nikiona comments zake nacheka sana
Tunashukuru sana kwa kutoa muda wako kwa ajili yetuMimi Kuanzia Kesho Nitaanza Kuwaletea vipengele viwili: Stupid Criminals na Leo Katika Katuni. Pendekezo zuri sana waungwana!
ubarikiwe
Mh uzi upi kwani ww upo jlwNi kwenye ule uzi wako
Niniiiiiiiii

Ila ww n arsenal tuuuuKweli kabisa
Kuna wengine humu huwa wanasema mimi ni simba
Misambwanda leoo. Nafwazzz. Thanks Madenge. Muumbaji Alicheza pele katika kumuumba mwanamke. Salute!Huyu Vera inasemekana ndiye video vixen tajiri kuliko wote na kinachomsaidia ni kuwa kasoma. Hata mwenzake yule wakili (Corazon Kwamboka) naye kampuni yake ya nguo inafanya vizuri sana. Vixen wetu hawa akina Masogange yaani wapo wapo tu. Wakenya, kama kawaida yao, wamechangamka karibu katika kila sekta kuliko sisi...![]()

Mashallah4/Juliet Ibrahim
![]()
![]()
Huyu ni binti wa Kighana anayeonekana zaidi kwenye muvi za Kinigeria
Ameigiza kwenye 4 Play,..30 Days In Atlanta na zingine kemkem
Ana umri wa miaka 31
.........
SanaaaaaPia anajali sana familia yake
Ni kweli mkuuNi maisha yake. She has every right kuishi atakavyo ali mradi havunji sheria. Na ni afadhali kichaa anayejionyesha kuliko kichaa aliyejificha katika sanity ya bandia! Na vichaa waliojificha ndo wengi katika jamii![]()
Njema karibuhabar humu ndan
Ila huwa inaisha baada ya muda utafanya nini mkuu ukiporomoka?utatafuta mngine au ?Si unajua tena. Misambwanda. Ukibonge. Weupe and the boy from Koromije is completely finished kabisa kabisa!
Flat-screenNiniiiiiiiii![]()