Makapuku Forum

Rest in Peace Marc Vivian Foe,nimeumia sana huyu marehemu siku anapata shida uanjani iliyioelekea mauti yake niliuangalia ule mpira tangu mwanzo hadi anaanguka..kifo hakichagui siku wala saa tunapaswa kulijua hilo na kuwa tayari kila wakati[emoji120]
 
Pole kwa majeruhi wote
 

Mawe yanaanguka huko Lushoto eneo LA vugha road yamedondokea gari majeruhi wamekimbizwa hospital

lushoto kwetu Mungu asaidie [emoji120]
Mungu aingilie kati maporoko yakome katika jina la Yesu,majeruhi Mungu awape uponyaji ,pole kwa ndugu jamaa wote kwa shida hii,Mungu wetu ni wa huruma atasitisha dhoruba na kutakua salama[emoji120]
Maywether from TMT
 
I see zoote burudani
 
Huu si mchezo!!! ni kifo!!!
 
Sana,ila wanalemaa sana
 


....nami niliiangalia mechi ile, tragedy.
Foe alikuwa kiuongo mahiri sana na baada ya michuano ile angecheza soka ndani ya klabu kubwa kabisa duniani Bitoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…