Hii ni kweli kabisa ,tuwe waangalifu sana na mawasiliano,mahusiano na wanawake kimya kinaweza kuwa furaha au huzuni hata biblia imeandikwa so ni kanuni ya kibiblia ukiifuata hutapata tabu
1 PETRO 3
7 .Kadhalika enyi waume kaeni na wake zenu kwa akili na kumpa mke heshima.....