Makapuku Forum

Anashinda kwa 90%+
Huyu jamaa nahisi anajua kula na Wanajeshi ndio maana hawampindui wanaishia kumuangalia tu
.
.
Km Sizonje anavyowabeba wajeda kwenye vyeti feki na pia kuwapa ulaji wa tenda
.......
Viongozi wengi wa Afrika wanajua kucheza vizuri na Wanajeshi.

Ndio maana haishangazi kuona kila Rais anayeingia madarakani lazma achague mkuu wake wa Majeshi ambaye lazma awe rafiki yake.

Na wengine wanavuka mipaka na kuchagua ndugu zao kabisa. Mfano uko wazi kabisa.
 
Sizonje keshamuweka mtu wa kanda yake(Mabeyo)
Pia hataki kuteua Jaji Mkuu
........
 
Yuko wapi yule aliyesema Fainali Uzeeni?

Babu kaja kupata ngekewa uzeeni.
 
Sizonje keshamuweka mtu wa kanda yake(Mabeyo)
Pia hataki kuteua Jaji Mkuu
........
Kabisa mkuu,mhimili mmoja umekosa Kiongozi.

Naskia hata Uganda, kuna tetesi Museveni anamuandaa mwanae Meja Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuja kuwa Mkuu wa Majeshi.

Kwasasa ni Mshauri wa Rais kwenye mambo ya Ulinzi na Usalama.

Kabla ya hapo alihudumu katika Jeshi kama Mkuu wa Kikosi Maalum cha Ulinzi wa Rais ( Baba yake ).

They call it Africa, We call it HOME.
 
2/Malkia Elizabeth II
Buyu bibi amezaliwa tarehe21/04/1926(miaka minne baada ya kuzaliwa Mwalimu JK Nyerere)
Ndiye Malkia wa Uingereza kuanzia mwaka 1952
Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia aliebda vitani akiwa kama dereva na makenika
Ndiye bibi wa watoto wa Princess Diana akina Prince William na Harry
Ni mama wa Prince Charles
Ana umri wa miaka 91
...........
 
Yaleyale ya Gaddafi na mwanawe
Shida ni siku watu wakianza kuandamana unajikuta hauna jeshi imara
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…