Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Sawa dada we furahi uongeze miaka ya kuishihahahhah mnanifurahisha sna
Aaah dada hujamtendea haki nyageiShem wange Nyagei ukuje si ulisema umeokoka wewe nimekukuta mitaa ya kati huko kwa a wakubwa unatoa macho![]()
Sebho gwaghonaUsijali ukarimu tu huu
Sio mtaa ni familiaWaakaji wa huu mtaa nmewapenda bure naombeni chumba nami niwe mmoja wenu
Aaah kumbe mlinzi tu, shululu njoo uchukue bia moja hapaSawa nilikuwa namkumbusha mlinzi kazi yake
Bila kusahau Neno la Mungu toka kwa Mama yetu mpendwaKaribu sana
Hapa ni swaga tu
Tunapata magazeti kila siku
UF
Leo katika historia
Tongotongo la asubuhi
Nukuu
Top ten
Na ratiba za michezo
Karibu sana, toa like upate like
Tumosa karibu sana dear huyo anaitwa shemeji yangu shululu mpe mpe kampani na umzoee sana ili usiboreke humu sawa

Nashukuru mkuu na mm nmejiunga na familia hiiSio mtaa ni familia
All the time God is good
Indi mkafu uyltwaapo uliSebho gwaghona
Nimecheka sanaWavae khanzu na malapa na kushika visu na mapanga mpaka kieleweka
![]()
![]()
![]()
.......
Kuna mlinzi anakuja huyu shululu analinda kwa kamera yupo mzee wa virunguAaah kumbe mlinzi tu, shululu njoo uchukue bia moja hapa
Ama tununuIndi mkafu uyltwaapo uli
Unataka mondray aje achukue jimbo au aje kukaribisha mgeniMondray njoo umkaribishe mgeni
All the time God is good
Baba mchungaji katika ubora wakeKaribu.....samahani, we ni ke au me?
Thanks Bitoz1/Anglo--Zanzibar War 1896![]()
![]()
Hii vita ilikuwa baina ya Waingereza na Sultan Khalid Barghash ambaye alichukua uongozi kufuatia kifo cha binamu yake
Waingereza walimpa masaa 24 aachie ngazi lakini akagoma hivyo Waingereza wakapeleka wanajeshi na meli zao za kivita na kuanza kuishambulia Z'bar
Ndani ya dakika 38 pekee Sultan akashindwa vita
Vita Hii ilisababisha vifo na majeruhi wa Kuzanzibar 500 wakati ni mwingereza mmoja pekee aliyejeruhiwa...pia boti mbili zilizama
.
.
.
.
.shukrani mliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
................
