Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Karibu sanaWaakaji wa huu mtaa nmewapenda bure naombeni chumba nami niwe mmoja wenu
Hawawezi hata kidogo5/Slovenian Independence War 1991![]()
![]()
Hii ilikuwa ni vita ya kudai Uhuru wa Slovenia kutoka kwa Yugoslavia
Ilianza June 27 na kuisha July 07 yaani Siku 10 tu Slovenia ikajipatia uhuru wake
Wazenji naokm vipi wajaribu
........
Sawa dadaakikujibu uniite kaka akee
Wewe ni ke au meNashukuru mkuu nshakaribia
Hapo kwa wazenji pagumu maana kuna watu wanamkono mrefu5/Slovenian Independence War 1991![]()
![]()
Hii ilikuwa ni vita ya kudai Uhuru wa Slovenia kutoka kwa Yugoslavia
Ilianza June 27 na kuisha July 07 yaani Siku 10 tu Slovenia ikajipatia uhuru wake
Wazenji naokm vipi wajaribu
........
WoyooooooooWewe ni ke au me
Kumbuka nje kuna vicheche na mwewe wanaweza wakakusaidia kulakuku wa kwako mwenyewe manati ya ninii atazungukaa lkn lazima arudi nyumbani
Hili swali lako nimelipendaWewe ni ke au me
tunaomba chumba jamani sisi wageniWaakaji wa huu mtaa nmewapenda bure naombeni chumba nami niwe mmoja wenu
kaka mwanaume hachungwi ni yy na akili yake na misimamo yake hapo utakua umenipataKumbuka nje kuna vicheche na mwewe wanaweza wakakusaidia kula
Si bwana wakeKakuua na nini mpendwa katika bwana
hahaha sbbu na ww unasubili jibu kwa hamuHili swali lako nimelipenda
We mgeni wa nchi gani tukusajili kama mkimbizi au unaomba uraiatunaomba chumba jamani sisi wageni
hapana shemela nasubilia jibu na mm kwa hamuVip shemela![]()
![]()
![]()
Hapo kwa wazenji pagumu maana kuna watu wanamkono mrefu
Hakuna ugumu wowote sema uoga tuHawawezi hata kidogo
Nimekupta dada kazi kwakokaka mwanaume hachungwi ni yy na akili yake na misimamo yake hapo utakua umenipata
Asante mkuuKaribu sana
kazi ipiiiiNimekupta dada kazi kwako