Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Tumosa karibu sana dear huyo anaitwa shemeji yangu shululu mpe mpe kampani na umzoee sana ili usiboreke humu sawa
Nashukuru ndgu nmejibu swali kama hili juu hkoKaribu.....samahani, we ni ke au me?
Nashukuru,nashangaa nmedakwa na maswali juu juu kabla hata ya kukaa au ndo ikarimu wenyeweTumosa karibu sana dear huyo anaitwa shemeji yangu shululu mpe mpe kampani na umzoee sana ili usiboreke humu sawa
usijal ndio kulivyo huku zoea tu mamy huku matani ndio jadi yetu usipanic kawaida yetu sanaNashukuru,nashangaa nmedakwa na maswali juu juu kabla hata ya kukaa au ndo ikarimu wenyewe
Sawa dadabasi mwachie shemela shululu
Aiseee2/Football War 1969![]()
![]()
![]()
Ilijulikana pia km Soccer War au 100hrs War
Chanzo cha hii vita ni mechi ya kuwania kufuzu kombe la dunia 1970 kati ya El Salvadotr v Honduras iliyofanyika mwaka 1969
Baada ya El Salvador kushinda 3:2 (baada ya muda wa nyongeza) mashabiki wakaanzisha ghasia kubwa na kupelekea polisi kuingilia kati lakini haikufua dafu na kupelekea nchi hizo kuingia vitani
El Salvador ikaamua kutuma Jeshi kufanya mashambulizi huko Honduras na vita kudumu kwa masaa 100
Vita Hii iliisha baada ya kusuluhiahwa na Umoja wa Nchi za Kimarekani(Organization of American States)
........
Usicheke dada maana naona mkuu kaamua kugombea jimbo
SawaNdiooooo
hahahhah mnanifurahisha snaUsicheke dada maana naona mkuu kaamua kugombea jimbo
Sawa nilikuwa namkumbusha mlinzi kazi yakeHahahaa acha hizo bhana
Sawa mkuu maana hiyo biashara nimeshindwa kuielewaWe sema hivyo bora mi na biashara zangu sio sawa na wauza vidudu
Mwongozo huu lazima afanikiwe kuwepo humuTumosa karibu sana dear huyo anaitwa shemeji yangu shululu mpe mpe kampani na umzoee sana ili usiboreke humu sawa
Asanteusijal ndio kulivyo huku zoea tu mamy huku matani ndio jadi yetu usipanic kawaida yetu sana
Usijali ukarimu tu huuNashukuru,nashangaa nmedakwa na maswali juu juu kabla hata ya kukaa au ndo ikarimu wenyewe