Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Ke mkuuWewe ni ke au me
Ke mkuuWewe ni ke au me
mkolomije tuliaWe mgeni wa nchi gani tukusajili kama mkimbizi au unaomba uraia
Tatizo zanzibar hawana jeshi, na wazanzibar wengi wao ambao ni wanajeshi wapo Bara na si visiwaniHakuna ugumu wowote sema uoga tu
Inakuache hatukuungana na Wanyarwanda na Warundi mpaka tumekwea boti kuwafuata Wazenji?
Bara imeona huko kuna maslahi
![]()
![]()
![]()
......
Ndio dada ila mi sio kama pimbihahaha sbbu na ww unasubili jibu kwa hamu
Niaje Mzeiya!!!.....Naona kombe mshalichukuaSasa hivi ni mwendo wa kurudi nyumbani mapemaaa haka kaubaridi sio ka mkoa huu wa Dar es salaam

nipo nafatilia kaka uwe na amaniKwani na wewe ni jimbo lake
Cc: shunie
Ngoja nikaendelee na biashara zanguKwani na wewe ni jimbo lake
Cc: shunie
shemela shululu mkaribishe mgeniKe mkuu
Maslahi yapo ndo maana nimekwambia kuna watu wanamkono mrefuHakuna ugumu wowote sema uoga tu
Inakuache hatukuungana na Wanyarwanda na Warundi mpaka tumekwea boti kuwafuata Wazenji?
Bara imeona huko kuna maslahi
![]()
![]()
![]()
......
hahahha mbona umejiwahiNdio dada ila mi sio kama pimbi
Aiseee4/Russo--Georgian War 2008![]()
![]()
Ilipiganwa baina ya Urusi na Georgia kuanzia Agosti 7 hadi 12 2008
Urusi alishinda vita na kuzikalia Ossetia Kusini na Abkhazia
Vita ilidumu kwa siku 6 tu
........
Kulinda kilicho mkononi mwako wasije kukunyang'anyakazi ipiiii
Cc: shululuKe mkuu
Wavae khanzu na malapa na kushika visu na mapanga mpaka kielewekaTatizo zanzibar hawana jeshi, na wazanzibar wengi wao ambao ni wanajeshi wapo Bara na si visiwani
kama riziki yako ni yako tu kaka hata wakija nyakunyaku watapitiwa wataachwa atarudi kwakeKulinda kilicho mkononi mwako wasije kukunyang'anya
Ya kutokuchungakazi ipiiii
Mkuu mi nimeuliza kwa nia njema tumkolomije tulia
Karibu sanaKe mkuu