Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante Bitoz kwa top 10 ubarikiwe sana
Pamoja sana
.
..
.wale jamaa uliowasema kwamba "wanaiga huu Uzi" wasikuumize kichwa....kawaida thread kuanza kwa spidi kisha hupotea taratibu

Hii yetu haifi kwavile inahuusu mada mchanganyiko na inabadilika kila siku kulingana na matukio sasa watu watajadili kitu kimoja usiku hadi mchana kila siku si watachoka tu

Pia sisi hakuna kujikweza kila mtu anajisikia hapa kwake na hata kupeana like sio ishu sasa fikiria sehemu ambayo kila mtu anajiona supastaa na kuchati kwa mjuano
......
 
Pamoja sana
.
..
.wale jamaa uliowasema kwamba "wanaiga huu Uzi" wasikuumize kichwa....kawaida thread kuanza kwa spidi kisha hupotea taratibu
Hii yetu haifi kwavile ina nusu mada mchanganyiko na inabadilika kila siku kulingana na matukio sasa watu watajadili kitu kimoja usiku hadi mchana kila siku si watachoka tu

Pia sisi hakuna kujikweza kila mtu anajisikia hapa kwake na hata kupeana like sio ishu sasa fikiria sehemu ambayo kila mtu anajiona supastaa
......
kweli watachoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom