Makapuku Forum

Makapuku Forum

3/6 Day War 1967
2fb661c5cfc773c714d1a37d767a5db9.jpg
96c320e73ce659e4070bf3256f08062d.jpg
c5c3934803b3044b920b3b4810a791ee.jpg

Hii vita ilipiganwa baina ya Israel dhidi ya Syria,Misri,Jordan & Iraq
Israel ilipeleka wana jeshi 100000 katika mpaka wa Syria hivyo Waarabu wa nchi hizo 4 wakaungana na kupigana vita kwa siku 6
Mwisho Israel akashinda na kujichukulia mji wa Jerusalem na Ukanda wa Gaza
........
Ndio maana ni jeuri sana Israel

All the time God is good
 
1/Anglo--Zanzibar War 1896
b533404bbfabf65cad6537c1ae066142.jpg
eb32dbbdfcb2617a2692fc88f4aec779.jpg

Hii vita ilikuwa baina ya Waingereza na Sultan Khalid Barghash ambaye alichukua uongozi kufuatia kifo cha binamu yake
Waingereza walimpa masaa 24 aachie ngazi lakini akagoma hivyo Waingereza wakapeleka wanajeshi na meli zao za kivita na kuanza kuishambulia Z'bar
Ndani ya dakika 38 pekee Sultan akashindwa vita
Vita Hii ilisababisha vifo na majeruhi wa Kuzanzibar 500 wakati ni mwingereza mmoja pekee aliyejeruhiwa...pia boti mbili zilizama
.
.
.
.
.shukrani mliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
................
Shukrani mkuu kwa top ten mubashara

Asante Bitoz kwa top 10 ubarikiwe sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom