Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Nsha koma mie..![]()
![]()
Ukome
Nsha koma mie..![]()
![]()
Ukome
Mwambie mkuu maana atajikuta anatongoza na bibi zakekwahiyo hayo maneno uliongea nae kwenye simu eb jitahidi uache kutongoza tongoza hovyo
Hivi shahidi hafungwi?Shunie hivyo sio mm nilivyo!!
Najua humu nishajenga image mbaya ya kuonekana labda mm muhuni napenda madem
Ila kiuharisia sina tabia hizoo!!
Uzuri wengi wao hapo washaniona nilivyo
Sipo hivyo kabisa.pimbi anaweza kuwa shahidi au Paptika..
Daaah si utajikuta umefilisikaUkikutwa umesimama na msichana faini mil 3 na unamuoa..
Kama umependa msichana peleka posa
Ndio mtongozo wao....
Wapi hebu tuwekee hizo bidhaa na bei zake wengne ni Wateja tutanunuaNgoja niwahi biashara zangu maana muda ni mali
Mikia huku inabidi uitulize kwenye manguo yakoDaaah si utajikuta umefilisika
Hafungwi..Hivi shahidi hafungwi?
Nakupa ofa ya kusikiliza wimbo wa feruziSiwajui idadi vzr ila 8 wanafika au kupita..
Frem zero
Paprika
Ukhuty
Valentina
Endeleza nilipo ishia..
Kweli mkuu maana kambale anapenda topekambale ana fiti kabisa kwenye hilo bwawa
HahaaaNakupa ofa ya kusikiliza wimbo wa feruzi
Sawa kuwa makiniMikia huku inabidi uitulize kwenye manguo yako
Japo kuna changamoto ya baridi na mvua..
Sawa jitahidi kujitunzaHahaaa
Ila mie sipo hivi bwana huku mastory tu in reality sipo hivyo..
Basi sawa nitakuwa shahidiHafungwi..
Mbali mnoooo mkuuPoa karibu ileje mkuu
Mbona karibu tu mkuuMbali mnoooo mkuu
mkuu mambo vipMbona karibu tu mkuu