mish u moree sweetheartbaby nimekumiss kinomaaaaaa
hope uko poa ila tutapishana sana mida yangu naona ndo hii
upuuzi wa lee ndio upoje huo na mm nataka kuujuanamshukuru mungu mkuu, kuna upuuzi wako flani ivi naumiss sana
ahaaaaaaah upuuziii wa lee
na mimi naumis ila soon utarejeaa
unatembea na roho yangu ujue endelea kuniamini tu baby wangu mm ni wako nitabaki kuwa wako tuasilimiaa zimepunguaa
Ananisumbua sanaasantee
ila shunie nasikiaa unamsumbua
Ndioooo unanisumbuahivi alikuambia namsumbua au tunasumbuana??
halafu unajua yule mgambo wako hajawahi kunipiga biti hata siku moja so sidhani kama nipo wrong kwa ninachofanyaga kwa jirani yangu shunii
mlinzi wako huwa hakoseagi naonaga kazi yake
Poa karibu ileje mkuuHuku ni safi tu
Dada mzimasi kwa pages hiziinabidi niskip hakuna namna ingine
hahaha pole sanaHizi mvua hizi ni noma
Sio bure zimetumwa!!
Halafu kwetu bondeni
Joto City yote tepetepe
![]()
![]()
![]()
.......
mzima kaka wa mie unaendeleajeDada mzima
Mi niko poa vipi unataarifa za mama mchungaji maana jana nimeingia kwa kuchelewa humumzima kaka wa mie unaendeleaje
jana aliingia asbh alisema anaendelea vizuriMi niko poa vipi unataarifa za mama mchungaji maana jana nimeingia kwa kuchelewa humu
am ok nyagei

Kaniambia now yupo poa bibi yetu..mama mchuchu unaendeleaje mama angu tunakuombea Mungu azidi kukuponyaurudi kwenye hali yako tumekumiss watto wako
Anaendelea vzr nowMi niko poa vipi unataarifa za mama mchungaji maana jana nimeingia kwa kuchelewa humu
Mungu yu mwema azidi kumponyaKaniambia now yupo poa bibi yetu..
Anaendelea vyemamama mchuchu unaendeleaje mama angu tunakuombea Mungu azidi kukuponyaurudi kwenye hali yako tumekumiss watto wako
vizuri sana na ww unaendeleaje huko kwenu mvua vipiiiii baridi jeAnaendelea vyema