Amen..Mungu yu mwema azidi kumponya
maneno yapi ulimwambiaAmen..
Hua najuta maneno niliyomwambia kipindi kile aisee
Eti najifanya mario nimtokee mama mchuchu..duuh! Ila sio mbaya kashanisamehe Mama yangu.maneno yapi ulimwambia
Aisee ulimtania au ulimaanisha mama mchuchu we ni kama mjukuu wake ulimkosea sanaEti najifanya mario nimtokee mama mchuchu..duuh! Ila sio mbaya kashanisamehe Mama yangu.
Now shikamoo nyingi
Poleni sana msizaliane tu kwa wingiiKutokana na Mvua zinazoendelea
Maneo mengi ya Zanzibar yamejaa maji, tuseme ni mafuriko..
Hasa nitaa ya pembeni na mji.
Mara ya kwanza naongea nae aisee niliona aibu kinomaAisee ulimtania au ulimaanisha mama mchuchu we ni kama mjukuu wake ulimkosea sana
Madem wa kutoka wap?Poleni sana msizaliane tu kwa wingii
kwahiyo hayo maneno uliongea nae kwenye simu eb jitahidi uache kutongoza tongoza hovyoMara ya kwanza naongea nae aisee niliona aibu kinoma
Alivyo mpole
Hekima na busara
Halafu ka mama angu mapeeema nikajisalimisha.
kwahyo hamna mademu huko zaidi ya wanaojiuzaMadem wa kutoka wap?
Huku madem labda wa kujiuza..
No sikumtongoza mmkwahiyo hayo maneno uliongea nae kwenye simu eb jitahidi uache kutongoza tongoza hovyo
Ukikutwa umesimama na msichana faini mil 3 na unamuoa..kwahyo hamna mademu huko zaidi ya wanaojiuza
ndio ujifunze kutokana na makosa mm mwenyewe pia bibi muulize leeNo sikumtongoza mm
Si jinsi nilivyokua namchukulia huku mm najua ni binti tu kama ww
Ooh mama mchuchu daah nilijisikia aibu sana.
She is so very peace and Humble
safi sana maplay boy inawahusu hiyoUkikutwa umesimama na msichana faini mil 3 na unamuoa..
Kama umependa msichana peleka posa
Ndio mtongozo wao....