Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
we tulia tunajuana wenyeweupuuzi wa lee ndio upoje huo na mm nataka kuujua
we tulia tunajuana wenyeweupuuzi wa lee ndio upoje huo na mm nataka kuujua
Siwajui idadi vzr ila 8 wanafika au kupita..hivi una wapenzi wangapiii
kwahiyo ndio unanichongea au??Ananisumbua sana
Kweli hawana ujanjasafi sana maplay boy inawahusu hiyo
nakumbuka! kweli nilikutaja ila nishasahau ile mada ilikuwa inahusu nini@Archiduke kuna sehem niliiona umenitaja pamoja na miss natafuta..
Kisa nini?
kambale ana fiti kabisa kwenye hilo bwawaHapo si utakuwa unaendesha mradi wa ufugaji wa samaki
Ndiooookwahiyo ndio unanichongea au??
sawa kila la kheri kidume cha mbeguSiwajui idadi vzr ila 8 wanafika au kupita..
Frem zero
Paprika
Ukhuty
Valentina
Endeleza nilipo ishia..
eb niambie na mm niujuewe tulia tunajuana wenyewe
kwendraaaa!Ndioooo
vile anavyokuitaga we chizieb niambie na mm niujue
Sawa Dada tumwombeejana aliingia asbh alisema anaendelea vizuri
Shunie hivyo sio mm nilivyo!!sawa kila la kheri kidume cha mbegu
Amenmama mchuchu unaendeleaje mama angu tunakuombea Mungu azidi kukuponyaurudi kwenye hali yako tumekumiss watto wako
Poa mkuuAnaendelea vzr now
Huku tabu tupu, mvua inapiga tu baridi limeshika hatamuvizuri sana na ww unaendeleaje huko kwenu mvua vipiiiii baridi je
Yepi hayoAmen..
Hua najuta maneno niliyomwambia kipindi kile aisee
Huyu kazoea kutokea kila kinacho onekanaAisee ulimtania au ulimaanisha mama mchuchu we ni kama mjukuu wake ulimkosea sana
Huyo alimaanisha maana... harakati nyingiAisee ulimtania au ulimaanisha mama mchuchu we ni kama mjukuu wake ulimkosea sana
No sikumtongoza mm
Si jinsi nilivyokua namchukulia huku mm najua ni binti tu kama ww
Ooh mama mchuchu daah nilijisikia aibu sana.
She is so very peace and Humble