Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,394
- 10,836
hahah!google swali waliloshindwa kujibu ni lile la mbongo "kwanini maisha magumu?"Trophyless
Google ni wakorofi wamewaona Arsenal tu![]()
hahah!google swali waliloshindwa kujibu ni lile la mbongo "kwanini maisha magumu?"Trophyless
Google ni wakorofi wamewaona Arsenal tu![]()
hahah!google swali waliloshindwa kujibu ni lile la mbongo "kwanini maisha magumu?"
Nalo limekupeza piaShiie, namis sana ili jukwaa eti!!!
Kutoka kwenye Meza ya magazeti sina la ziada tukutane tena kesho
Jumanne njema makapuku wote

Merci Papaa1955 - Melesi Zenawi anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Ethiopia.
kwahiyo ndio upuuzi wa lee huovile anavyokuitaga we chizi
mm ndio nimeshafikakwendraaaa!
sawaShunie hivyo sio mm nilivyo!!
Najua humu nishajenga image mbaya ya kuonekana labda mm muhuni napenda madem
Ila kiuharisia sina tabia hizoo!!
Uzuri wengi wao hapo washaniona nilivyo
Sipo hivyo kabisa.pimbi anaweza kuwa shahidi au Paptika..
yaan hii baridi ni sheeda nipo kitandani nimejifunikaHuku tabu tupu, mvua inapiga tu baridi limeshika hatamu
ajirekebisheHuyu kazoea kutokea kila kinacho onekana
AiseeeHuyo alimaanisha maana... harakati nyingi
awe muelewa sasaMwambie mkuu maana atajikuta anatongoza na bibi zake
eti ni kweliHivi shahidi hafungwi?
Hahahhhh stareheNakupa ofa ya kusikiliza wimbo wa feruzi
haya mm na ww si tulishamalizana kwenye I'd yako ya ray kipindi kile ulimuomba lee akakuruhusu nikakupm na yaliisha siku ile sasa unanipm nn tena mm sijibu pm mondrayHahaaa
Ila mie sipo hivi bwana huku mastory tu in reality sipo hivyo..
Wafungwe tu yangaTanzania VPL
![]()