Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Njema kiongozi habari ya ujenzi wa taifamkuu mambo vip
Njema kiongozi habari ya ujenzi wa taifamkuu mambo vip
dah, zamu yangu ya kujenga bado mkuu, nadhani nitakua mmaliziaji kwenye finishing,Njema kiongozi habari ya ujenzi wa taifa
Saijaiona mkuudah, zamu yangu ya kujenga bado mkuu, nadhani nitakua mmaliziaji kwenye finishing,![]()
![]()
![]()
nimekutumia pm mkuu umeiona?
Ndio uchekiSaijaiona mkuu
Nimesha cheki nimeionaNdio ucheki
Wacha kutegeadah, zamu yangu ya kujenga bado mkuu, nadhani nitakua mmaliziaji kwenye finishing,![]()
![]()
![]()
nimekutumia pm mkuu umeiona?
Nimesha cheki nimeiona

Poa mkuu
mkuu taifa gani toka enzi za nyerere linajengwa tuuuu, hata haliishi wala halina hata dalili utadhani mnara wa babeliWacha kutegea
Ujenzi huwa hauishi daima we endelea na ujenzi wa nchi bila kutegea hata kidogomkuu taifa gani toka enzi za nyerere linajengwa tuuuu, hata haliishi wala halina hata dalili utadhani mnara wa babeli
Mnara wa babeli hii nchimkuu taifa gani toka enzi za nyerere linajengwa tuuuu, hata haliishi wala halina hata dalili utadhani mnara wa babeli
Usisahau una deni la taifamkuu taifa gani toka enzi za nyerere linajengwa tuuuu, hata haliishi wala halina hata dalili utadhani mnara wa babeli
deni wakope wengine wale wengine nilipe mimi? watalipa waliotumwa kukopaUsisahau una deni la taifa
Litalipwaje usipojenga nchi
Nawe ukiwemodeni wakope wengine wale wengine nilipe mimi? watalipa waliotumwa kukopa