Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndiye aliyemtengeneza Putin kuwa Rais wa Russian
717bf2110ea877081b56e617400e9764.jpg
Ila jamaa alikuwa mbabe sana
.....
 
1/Prince Luis Felipe
8ba9e83df749b6ede19ac40057d91b19.jpg
cc4afb89250189268128fe976671338a.jpg

Kama mnavyojua utawala wa kifalme mrithi hujulikana mapema hata kabla ya kifo cha Mfalme
Sasa mwaka 1908 Mfalme Carlos wa Ureno aliuawa papo hapo wakati wa ziara ya kifalme ambapo pia mwanawe Luis Felipe alijeruhiwa
Sasa wakati anawahishwa hospital I tayari alitambulika km Mfalme japo alikuwa bado hajavalishwa taji rasmi...ndani ya dakika 30 akafariki dunua akiwa njiani kupelekwa hispitali kutokana na kupoteza damu nyingi

.
.
Tukutane kesho
Mwisho
..............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom