Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Uzi gn huo?!nimecheka kwenye pita pita zangu huko watu wanataka kuendeleza uzi uwe kama makapuku
Uzi gn huo?!nimecheka kwenye pita pita zangu huko watu wanataka kuendeleza uzi uwe kama makapuku
Mpigie makofi basikazi ipo

Uongozi mtamu sana4/Skender Gjinushi![]()
Huyu alionja Urais wa nchi ya Albania kwa muda machache kama masaa mawili au manne tu
Ilimuwa mwaka 1997 baada ya uongozi wa kibepari wa Sali Berisha kushindwa uchaguzi wa kidemokrasia halafu kukataa kuachia madaraka hivyo Spika Slender akaamua kuchukua madaraka kwa mujibu wa katiba kuwa Rais wa mpito
Kisha Bunge la Albania likaamua kumtangaza mshindi halali wa Uchaguzi Mkuu Rexhep Meidani kuwa Rais mpya wa Albania
Hii ilifanyika ndani ya masaa manne pekee
.......
chit chat hukoUzi gn huo?!
UngeiquoteKuna hiyo picha inayoonekana hapo ikiwa na sanam za watu wamechakaa kama kuna mtu anamaelezo nayo naomba aniambie nimetamani kujua iko wapi na inahusu nini
Shem wange miss uSalama mkuu
Ndiye aliyemtengeneza Putin kuwa Rais wa Russian5/Boris Yeltsin![]()
Huyu mzee alijiteua mwenyewe kuwa Waziri mkuu wa Urusi mwaka 1998
Hii ilikuwa wakati yeye akiwa Rais na mgogoro wa kisiasa ukiwa umepamba moto hivyo akaamua kumpunguzia majukumu Waziri Mkuu kwa kujiteua yeye mwenyewe
Baada ya kukosolewa vikali na wananchi wake na wapinzani akaamua fasta kuachia huo Uwaziri na kumteua mtu mwingine
Yaani ndani ya masaa manne tu...kukurupuka ni kubaya!!!
.........
nimecheka kwenye pita pita zangu huko watu wanataka kuendeleza uzi uwe kama makapuku

Niaje shededehabar wanafamilia
Asante Bitoz ubarikiwe kwa top 101/Prince Luis Felipe![]()
![]()
Kama mnavyojua utawala wa kifalme mrithi hujulikana mapema hata kabla ya kifo cha Mfalme
Sasa mwaka 1908 Mfalme Carlos wa Ureno aliuawa papo hapo wakati wa ziara ya kifalme ambapo pia mwanawe Luis Felipe alijeruhiwa
Sasa wakati anawahishwa hospital I tayari alitambulika km Mfalme japo alikuwa bado hajavalishwa taji rasmi...ndani ya dakika 30 akafariki dunua akiwa njiani kupelekwa hispitali kutokana na kupoteza damu nyingi
.
.
Tukutane kesho
Mwisho
..............
Clkey vipMmeshindaje wapendwa
Shemela mm na ww tuna ugomviiiuNiaje shedede
Ndio hivyo shem wange
Shemela niajeSalama za ww
KhaaaMpigie makofi basi![]()
shemela quote zangu hujaziona auShemela niaje
Afadhali ya Borris kuliko mzee frent fordKama Sizonje
![]()
![]()
![]()
.......
Jana ulijisikiajeNiko poa mamy
Duh!2/Siaka Stevens![]()
Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Sierra Leone mnamo March 21 1967 aluapishwa kuongoza Taifa hilo
Lakini ndani ya nusu saa tu waasi wakamzingira na kumkamata hivyo kuwa nwiaho wa utawala wake
Baadaye akafanikiwa kurudi madarakani kuanzia mwaka 1968
Yaani alitawala nusu saa tu mwaka 1967 kama Waziri Mkuu mwaka 1968
Huyu alikuwa Rais wa Sierra Leone kuanzia mwaka 1971 hadi 1985
.......
Aisee, makapuku inawauma sananimecheka kwenye pita pita zangu huko watu wanataka kuendeleza uzi uwe kama makapuku