shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Niaje ObeNinaendelea vizuri, thanks. Uwe na jioni njema.
Niaje ObeNinaendelea vizuri, thanks. Uwe na jioni njema.
Aisee, lakini ni kama aliaaga hapa asubuhiaisee sijui karudi porini![]()
mana yule mtu aliweka uzi kamvuruga jana hata kuagwa sijaagwa
Na Biya wa CameronMfalme ambaye hakutawala hata kidogo.
Asante mkuu, ukipata muda tutafutie na waliokula chumvi nyingi madarakani, hasa wakiongozwa na bibi yetu Elizabeth wa II bila kumsahau Komredi Mugabe!
Muziki Ni Maisha.
Habari Makapuku, ninakuletea tena kipengele chetu cha muziki tukijikita zaidi kwenye gitaa. Hata hivyo leo ni siku ya tofauti kidogo, maana ndiyo kwanza tumemaliza kuwasindikiza watanzania wenzetu 35 waliofariki kwa ajali huko mkoani Arusha. Mungu awapumzishe panapostahili hili tukitafakari namna ya kuepukana na ajali zinazoepukika.
Mkumbuke hatujasahau kilichotokea shule ya Shauritanga (nilipoteza rafiki yangu wa karibu sana).
Leo tutaangalia zaidi mapigo ya 'violin' na hasa kuendana na tukio la leo. Nilipandisha clip hizi mapema na sioni ubaya kurudia moja na hasa ile iliyopigwa na wanabendi ndani ya meli ya Titanic. Wimbo wanaoupiga unaitwa KARIBU ZAIDI NA WEWE upo kwenye nyimbo za Tenzi, kwa kiinglishi unaitwa Nearer My God to Thee.
Tuko pamoja sana. Love
asante sana
Oooh aliga kumbe sawa shemelaAisee, lakini ni kama aliaaga hapa asubuhi
Asante dadaAsante kwa maombi,namshukuru Mungu naendelea vizuri
SawaBado,ila naendelea vizuri
Hupendi wokovu ukufikie![]()
![]()
![]()
nimeuliza tu
Unakimbilia wapi
Sawa husnaHujanishinda mm
Nimeitafuta sijaipata si unajua hii forum iko mbali sana sema ukifungua thread unaona picha ya hizo sanamUngeiquote
humu uzima upo, sijui kwako hukoWakuu wazima humu ndan
shunii njoo!
NimekuelewaNiliona nimsaidia tu, maana ndiyo picha iliyyokuwa inaonekana kwenye display ya kapuku
Hilo nalo neno.....kama umemfunga mikono kwa nyuma huna budi kumlisha, 😵
Huku kuko poa mkuuhumu uzima upo, sijui kwako huko
Kuna niniiiishunii njoo!
wazima za wwWakuu wazima humu ndan
Shunie mzimaOooh aliga kumbe sawa shemela