Makapuku Forum

Makapuku Forum

hivi alikuambia namsumbua au tunasumbuana??

halafu unajua yule mgambo wako hajawahi kunipiga biti hata siku moja so sidhani kama nipo wrong kwa ninachofanyaga kwa jirani yangu shunii

mlinzi wako huwa hakoseagi naonaga kazi yake
usijionee bichwa aiiiseeeh naweza nkakufanya usiku huu ukajikuta umelala choonii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom