Mei 7 mwaka 588 Kanisa la AyaSofya liliporomoka
Mei 7 mwaka 588 kanisa la AyaSofia liliporomoka. Ajali hiyo ya kuporomoka kwa paa la kanisa hilo ilikuwa ajali ya kwanza katika historia ya jengo hilo.
Katika historia ya jengo hilo baada ya kuporomoka kwakwe mfalme Justina katika Utawala wa dola ya Byzans alianzisha haraka kazi za ukarabati wa engo hilo.
Historia inafahamisha kuwa paa za jengo hilo ziliwahi kuporomoka pia katika kipindi cha utawala wa wabyzans.
Jengo hilo ambalo ni matunda ya muhandisi Sinan baada ya ukatabati halikuweza kuporomoka kwa mara nyingine katika historia yake.
Jengo la makumbusho la Aya Sofya limefunguliwa kwa raia lilijengwa mwaka 537 na mfalme Justinian.