Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,538
Huku salama kabisa kiongozi maana amna amna ajuwae mwenye shambaMzima kabisa, vp pande hizo
siku zinasonga
Huku salama kabisa kiongozi maana amna amna ajuwae mwenye shambaMzima kabisa, vp pande hizo
Mkubwa na mdogo unawatofautisha vipi?Sio sahihi
Km ni watu wa jinsia moja ukisema kaka au dada tafsri yake ni amekuzidi ila jinsia tofauti hapo haiwakilishi mkubwa wala mdogo
..........
Mechi ya wababe wa zamani.![]()
Wale wa soka tukutane kijiweni jioni
Arsenal v United
SAA 12
..........
umesahauu zengwe langu ...ntalianzishaa utakimbiaa umu mkuuu ...usicheze na mkee aiiiiseeeehKapige kazi jembe...achana na huyu muha wa unguja..