Lianzishe kakuzoea sana.umesahauu zengwe langu ...ntalianzishaa utakimbiaa umu mkuuu ...usicheze na mkee aiiiiseeeeh
Leo Katika Historia:
1946 - Kampuni ya Tokyo Telecommunication Engineering ambapo baadae ikaja kuitwa Sony yaanzishwa huko Japan ikiwa na wafanyakazi 20 tu.
Poa poa![]()
Wale wa soka tukutane kijiweni jioni
Arsenal v United
SAA 12
..........
Hakuna ishu yoyote kati yangu na shunie bhana...umesahauu zengwe langu ...ntalianzishaa utakimbiaa umu mkuuu ...usicheze na mkee aiiiiseeeeh
Amenndugu zangu,
jumapili njema! kwenu kama mimi ninavyoiona njemaa!
Cc shededetuambizanee mkuuu
utanifanya nirudi mwanzoni kabisa 160k ....
Huu uchochezi sasaTafuta post za kuanzia jana saa 6 usiku ujionee
Kumbe ana vyeo vingipamoja mwekahazina ....
sijui mjerumani alipotelea wapi kwenye hii battle ya electronics![]()
![]()
Kwasasa Ni moja kati ya kampuni kubwa za vifaa vya kielektroniki duniani
.....
Pamoja sana mkuu ChaplinShukrani mkuu shululu kwa magazeti
Ubarikiwe
Niaje NyageiHabari ya asubuhi mkuu
NdioKumbe ana vyeo vingi