shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nawe pia jumapili njemandugu zangu,
jumapili njema! kwenu kama mimi ninavyoiona njemaa!
Nawe pia jumapili njemandugu zangu,
jumapili njema! kwenu kama mimi ninavyoiona njemaa!
Aisee1986 - Mkanada Patrick Morrow anakuwa mtu wa kwanza kupanda milima yote mirefu saba ya kila bara hapa ( Seven Summits ).
Seven Summits ni Mlima Kilimanjaro, Everest, Concagua, Puncak Jaya, Konsciuszko, Elbrus, Mont Blanc.
Mambo bibie karibuNyie watu nyie![]()
![]()
![]()
Mama Dolphin na Nyangumi wakiwaangalia wanao
1948 - Baraza la Ulaya ( Council of Europe ) laanzishwa huko katika Mkutano wa The hague.
Kazi zilinibana sanaMambo bibie karibu
Nilikumiss dada
Leo niko free hivyo nimeonelea niwe mgeni wako kwa LeoMnautani sana
Niaje shukulu...Aisee
Ndio naekekeaAaah! kumbe mwenyeji!!
basi nenda ukamsaidie hiyo biashara yake!
Kazi zilinibana sana

Leo sijaenda kwenye biasharaLeo niko free hivyo nimeonelea niwe mgeni wako kwa Leo
Asante NyageiTukutane kwenye ratiba za michezo ya leo
shukulu => shululuNiaje shukulu...
Bibie naomba tuwe p1 humu KP maan mm sina mate humuKazi zilinibana sana
natumaini nauli umebeba, safari isije kuishia njiani tu!Ndio naekekea
1999 - Rais Joao Bernardo Vieira wa Guinea- Bissau anapinduliwa katika Mapinduzi ya Kijeshi.
Wakikusumbua niiteHakuna ishu yoyote kati yangu na shunie bhana...
Tutakwenda pahala tupumzike huku tukinywaLeo sijaenda kwenye biashara