Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
Shida zote za nini?La kufa kiumbe..! Lazima uwe na jacket kama 3 na shweta ndani..
Afu pia uwe na Raincoat moja na tracks kwa ajili ya mvua na snowfalls
Sleepingbag ya kulalia ni lazima
Mkuu unaendeleajeBibie naomba tuwe p1 humu KP maan mm sina mate humu
Asante shem wange kwa magazeti mubasharaMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Dr Lee nawatakieni jumapili njema
Mwaka huohuo 1999 mtihani wa Taifa wa kidato cha IV unafanywa mara 2,1999 - Rais Joao Bernardo Vieira wa Guinea- Bissau anapinduliwa katika Mapinduzi ya Kijeshi.
Aiseeanakuuliza habari za porini huku anacheka jana aliongea sana kuhusu ww kuwa porini
Nimekumiss ujueahaaaaaaaah
Poyeee hunnieleo tunashinda woteee ...sema maucchovuuu
MmhMkuu umerudi? Za safari? Familia umeikutaje? Karibu tena!
Ile ndio alama yao. Kama ambavyo nike ike tiki ndo alama yao.
Sema msimi huu wameharibu kuweka ile mistari mitatu kwenye usawa wa mbavu badala ya juu ya mabega.
Puma inapendwa sana na timu za Afrika.
Puma na Adidas ni kampuni za mtu na kaka yake.
ADIDAS - All Days I Dream About Sports. Kirefu kisicho rasmi.
Mama mchuchu shikamoo mama anguKaribu Lee Ubarikiwe
Si kwa mwili huu jamaanMungu Aendelee kukulinda. Ila mlinzi wako Shedede anatusumbua balaa kisa misuli. Jamaa mbabe sana. Mkanye!
Koloni gani tena baba anguahaaaaaaah mkuuu humo japo sijakutajaa
lile kolonii hata kwa dawa ipii huwezi lipata .....
moyo wake huwa nasafiri nao anakuwepo kiwiliwiliii
Hahahaaa! Mambo ya tukubaby mambo ya unene eti
Pamoja sana shemelaAsante shem wange kwa magazeti mubashara
Asante mkuu. Dunia ya tatu bado sana katika mambo mengi.Mwaka huohuo 1999 mtihani wa Taifa wa kidato cha IV unafanywa mara 2,
Early1999 na November 1999.
Sababu ikiwa kuvuja kwa mtihani wa November 1998 chini ya Profesa Kapuya.
Mama mchuchu jamaan wanakuharibu ujue wakuwekee gospel sio mambo ya viuno viunoNamba 3 kachezaaaa
Cc Shunie
Khaaaa mama mchuchu na ww umeyafurahiaHakika Obe umletee touch Lee
Shedede huyo. Si alifukuzwa kazi halafu we ndo ukamrudisha? Kumbe hata humfagilii kivile?Si kwa mwili huu jamaan