e2n
JF-Expert Member
- Dec 24, 2015
- 637
- 796
Asante sana mkuuMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Dr Lee nawatakieni jumapili njema
Asante sana mkuuMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Dr Lee nawatakieni jumapili njema
Mungu Aendelee kukulinda. Ila mlinzi wako Shedede anatusumbua balaa kisa misuli. Jamaa mbabe sana. Mkanye!![]()

gooodmorning kiongoziigood morningView attachment 505625
niajeee chiefmorning kwema kiongozii???
Ubarikiwe mkuu Shululu asante sana kwa magazetiMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Dr Lee nawatakieni jumapili njema
jumapii njema
oooooh mama mchungajii kwema lakin?Karibu Lee Ubarikiwe
umeamkaje huko chiefgooodmorning kiongozii
ahaaaaaaah mkuuu humo japo sijakutajaajapo sipo kwenye Iist ila tumekumiaa pia na shukran kwa kutuachia hata yale makoloni yako soon tutatangaza utawala mpya![]()
![]()
![]()
aaaaaahaaaaaaah kazidishaa mazoeziiiiMungu Aendelee kukulinda. Ila mlinzi wako Shedede anatusumbua balaa kisa misuli. Jamaa mbabe sana. Mkanye!![]()
Asante sanaMorning all kapuku, magazeti ya leo yatawaijia hivi punde
iko bomba Mungu mwema nimeamka salama!! ila mvua mvua tu sijui huko kwenu?niko poa captain ...
jpili ikojee ?
apoo gudiiii gudiiiiiiko bomba Mungu mwema nimeamka salama!! ila mvua mvua tu sijui huko kwenu?
aiseee, upo wap huko chiefapoo gudiiii gudiiiii
sisi tuko poa mvuaa hatuioniii
Goodmorning thank yougood morningView attachment 505625
you are most welcome...!!Goodmorning thank you
Namba 3 kachezaaaando maaana nimekuleteaa simu ...asante bhinamu

Amen,tunakumis tunakuombea sanawakuu salaam
ni matumaini mu wazima kabisa ...kiukweli naimis sana familiaa hii ila sitasita kuja kusalimia pidi nipatapo ka time kama leo ..
heshima kwa kapuku wote nikitaja wengine ntawasahau ila nyote wageni na wenyeji love ya kutosha
shunie mama kipenzi nakumis sana na unajua vile namis ukivuruge wako ila sala zakp zinafika haswa
bhinamu obe simu ya tachi nimeikumbuka na ile uliyoniagiza nimeileta
mkuu Mondray heshima kwako
balozi bitoz
shimba ntapata ripoti
mama mchungaji nakumis
mkuu mr T and sakayo
baba paroko
nyagei
mndali
shemela le mushenga papaa
mkuu dikteta
shululu
mzee mkavu sijui walikuteka
snipes
na wengine wote nawamis
