Sisi pia tumekumiss sanamkuuu heshimaa kwakooo kiongoziiiii....nko poaa full kuwamisss
ahaaaaaaaahhivi kesho manchester anacheza na chelesea au na arsenal
asanteee kiongoziiiiiMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Dr Lee nawatakieni jumapili njema
Asante na karibupamojaaa mkuuu kazii unaifanya haswaaaaa....thanks alout ngoja miyapitiee make siku nyingi nimesomaa
Pamoja sana mkuu Leeasanteee kiongoziiiii
leo tunashinda woteee ...sema maucchovuuuAsante na karibu
Mkuu umerudi? Za safari? Familia umeikutaje? Karibu tena!leo tunashinda woteee ...sema maucchovuuu
Matokeo ya mechi zilizochezwa tarehe 6 yanaletwa kwa udhamini wa Obe (Jorowe) na shululu
heshia kwako kiongozii ...sijarudii rasmi ila leo nimepata off kidogoMkuu umerudi? Za safari? Familia umeikutaje? Karibu tena!
morning kwema kiongozii???Morning all kapuku, magazeti ya leo yatawaijia hivi punde
Karibu Lee Ubarikiweheshia kwako kiongozii ...sijarudii rasmi ila leo nimepata off kidogo
safarii bado mkuu ila Mungu anasaidiaa
familia hpe iko poa kabisa
asante mkuu
Poleleo tunashinda woteee ...sema maucchovuuu
japo sipo kwenye Iist ila tumekumiaa pia na shukran kwa kutuachia hata yale makoloni yako soon tutatangaza utawala mpyawakuu salaam
ni matumaini mu wazima kabisa ...kiukweli naimis sana familiaa hii ila sitasita kuja kusalimia pidi nipatapo ka time kama leo ..
heshima kwa kapuku wote nikitaja wengine ntawasahau ila nyote wageni na wenyeji love ya kutosha
shunie mama kipenzi nakumis sana na unajua vile namis ukivuruge wako ila sala zakp zinafika haswa
bhinamu obe simu ya tachi nimeikumbuka na ile uliyoniagiza nimeileta
mkuu Mondray heshima kwako
balozi bitoz
shimba ntapata ripoti
mama mchungaji nakumis
mkuu mr T and sakayo
baba paroko
nyagei
mndali
shemela le mushenga papaa
mkuu dikteta
shululu
mzee mkavu sijui walikuteka
snipes
na wengine wote nawamis

Mungu Aendelee kukulinda. Ila mlinzi wako Shedede anatusumbua balaa kisa misuli. Jamaa mbabe sana. Mkanye!heshia kwako kiongozii ...sijarudii rasmi ila leo nimepata off kidogo
safarii bado mkuu ila Mungu anasaidiaa
familia hpe iko poa kabisa
asante mkuu