Makapuku Forum

DSTV sio mpira tu, mfano wewe bitoz ni mwanasheria, ukiiangalia chanel kama CRIME na ID, pamoja na mambo ya historia kupitia HISTORY, utajifunza vitu vingi sana tofauti kabisa na ulivyofundishwa chuo
Ila EPL ndo inawabeba
Kumbuka hao wote watakutanishwa na soka la EPL kubishana

........
 
miss u kiboko yangu mpk nakufwa [emoji8] baby ushajifunza hayo maandishi ya marangi [emoji134] mm sipendi yananiumiza macho au sijui ndio ushamba wangu

bora umerudi jana usiku walikua wanakuua kwa maneno shemela shululu na tetra
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…