Makapuku Forum

Makapuku Forum

Binamu wasambaa tunasema hongea
moyo unalia macho yanacheka asante binamu kesho naomba uniwekee my love is your love wa Whitney houston umfikie lee wangu huko alipo nimemmiss na ninampenda sana nipo nyuma yake [emoji8]

Kumbe wewe ni wa TA, Hidaya ni ndugu yako maana mnafanana sana kwenye hiyo picha yako
 
wakuu salaam

ni matumaini mu wazima kabisa ...kiukweli naimis sana familiaa hii ila sitasita kuja kusalimia pidi nipatapo ka time kama leo ..
heshima kwa kapuku wote nikitaja wengine ntawasahau ila nyote wageni na wenyeji love ya kutosha
shunie mama kipenzi nakumis sana na unajua vile namis ukivuruge wako ila sala zakp zinafika haswa
bhinamu obe simu ya tachi nimeikumbuka na ile uliyoniagiza nimeileta

mkuu Mondray heshima kwako
balozi bitoz
shimba ntapata ripoti
mama mchungaji nakumis
mkuu mr T and sakayo
baba paroko
nyagei
mndali
shemela le mushenga papaa
mkuu dikteta
shululu
mzee mkavu sijui walikuteka
snipes
na wengine wote nawamis
 
Morning mkuu Lee, za siku tele
 
IMG-20170507-WA0025.jpg
 
Back
Top Bottom