Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
kheee nan kakwambia lee mwembamba lee ni kibonge mwenzanguNdio sababu lee mwembamb...
Kijana wa watu anaburn calories nyingi kukugeuza kitandani
kheee nan kakwambia lee mwembamba lee ni kibonge mwenzanguNdio sababu lee mwembamb...
Kijana wa watu anaburn calories nyingi kukugeuza kitandani
cheka taratibu wanelala mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Material zingine zipo kwa ajili ya Sakayo tuu...napenda kukudownload
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Transcend
Kwenda zako na uongo wako..Ha hahahhaha, umenifanya nicheke sana. Jorowe hajengi ndani mwa mtu, yeye kwenye miti mjanja mjanja hivi
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]kheee nan kakwambia lee mwembamba lee ni kibonge mwenzangu
hapana chezea tanga kunani gusa unaseMaterial zingine zipo kwa ajili ya Sakayo tuu...
Kuna tips anatakiwa apewe sakayo tuu..
Unadhani kumhandle mtoto wa kitanga si easy eeeh? [emoji28]
Wewe na wewe unashukula cha usa-river eeh?Mondray unaomba link ya nini kwani, afu mimi huwa nakuwa wa mwisho kuelewa haya mambo ya link link
Kwenye ubora wake [emoji23][emoji23]Binamu huyo
Obe...
Niwekee zilipendwa moja hapa hebu nisukumie kilaji mimi
ah hivi nilikuwa sijui mkuu [emoji28]cheka taratibu wanelala mkuu
Kama super gluehapana chezea tanga kunani gusa unase
Shemela huniamini[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapiga kilaji gani? Maana kama unagonga safari lager inabidi nikutupie kitu toka Kenya Katitu Jazz band au Shirati Band.
Ukiwa unagonga vitu vya 'hamu' basi tumsake mlimbwende wa enzi zile Dolly.
Na kama unagonga nyagi au anything 40+ ABV basi tukae chini tutafute moja ya maana
acha tu shemelaKama super glue
niko poa mzeiya..ni fullu??Mambo joseee
Wewe na wewe unashukula cha usa-river eeh?
Zile nyimbo zako za 1950 huwa unatumia nini kuziweka hapa?
Kile unachokopi youtube na kupaste hapa ndio link hiyo