Makapuku Forum

Makapuku Forum

Binamu wasambaa tunasema hongea
moyo unalia macho yanacheka asante binamu kesho naomba uniwekee my love is your love wa Whitney houston umfikie lee wangu huko alipo nimemmiss na ninampenda sana nipo nyuma yake


Okay auntie nitajitahidi niutafute wa live ili 'nyuzi' zisikike. Kuna moja aliimba huku katupia nyuzi (shanga) kiunoni basi mimi mtu wa ziwani roho ikafa minyaa kabissa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom