Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,937
Shedede insta kaweka picha yakeHuyo atakua shedede maana had wachapu kaweka hiyo..
Shedede insta kaweka picha yakeHuyo atakua shedede maana had wachapu kaweka hiyo..
Jewe ndili wi wachu idyaa kubha Diamondwewe ni nzoka yi henge
Jitahidi binamu uupate unapenda shanga binamu eenh
bas sawa captain imekaa poa hiyoHii tamaduni ya usafi bado inaendelea mkuu
Kheeeee chain hupendi....tangu lini vegetarian akachukia maharage?
Hapana aise Shunie sio mimiJose kuna mtu insta dp yake kama avatar yako halaf jina lake limeanzia jose n ww
Shedede insta kaweka picha yake
hahhahah binamu jaman si kwenye profileInsta ni kama whatsapp?
fresh sana captain mwenyewebas sawa captain imekaa poa hiyo
username yake ni jose nani?sawa basi nikimuona huwa nakukumbuka
Kheeeee chain hupendi
pamoja captainfresh sana captain mwenyewe
Born Town ni Talent Town Kigoma.. ila nimeishi kama mwaka na nusu Shinyanga+mwanza now sieleweki Mara bashite City (Dar) Mara kwenye urojo na ndimu Zenj..roger dat, nyumban mkoa gan?
Sikumbuki Jose nanusername yake ni jose nani?
I wish lee angekuepo asomeShanga zina mlio fulani hivi utasema nyoka kifutu anatemmbea kwenye nyasi kavu, chain haina raha.
Shanga zikikatika kwa mfano mnaanza kuokota ule utunda pamoja, si raha hiyo, au?

Born Town ni Talent Town Kigoma.. ila nimeishi kama mwaka na nusu Shinyanga+mwanza now sieleweki Mara bashite City (Dar) Mara kwenye urojo na ndimu Zenj..
asante captain kwel wewe travellerBorn Town ni Talent Town Kigoma.. ila nimeishi kama mwaka na nusu Shinyanga+mwanza now sieleweki Mara bashite City (Dar) Mara kwenye urojo na ndimu Zenj..
ila nilihis tu utakuwa wa KG Mwisho wa reliBorn Town ni Talent Town Kigoma.. ila nimeishi kama mwaka na nusu Shinyanga+mwanza now sieleweki Mara bashite City (Dar) Mara kwenye urojo na ndimu Zenj..