Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hivi wewe mshikaji wako ni nani?R.i.p mshkaji wake nyagei
Hivi wewe mshikaji wako ni nani?R.i.p mshkaji wake nyagei
sawa shem wange nasubilia ata ukiona channel za Kenya au ug uniambie kwenye kingamuzi zipoKwa Leo sijajua nitafuatilia kisha nitakupa mrejesho
Amen mkuu mkubhiWakuu na wasalimia , natumai mko Salama na mnaendelea na shughuli za kila siku za kuwapatia mkate.... Mungu awabaliki wetu!!
Hivi mboga mboga amepona?Amen mkuu mkubhi
Ubarikiwe
Mond toka aumwe tumbo sijamuona huku?sawa shem wange nasubilia ata ukiona channel za Kenya au ug uniambie kwenye kingamuzi zipo
Huwa huonekani kabisa, baada ya mechi ndio unaonekanaNitakimbiaje wakati nitaleta matokeo
Sawa shemsawa shem wange nasubilia ata ukiona channel za Kenya au ug uniambie kwenye kingamuzi zipo
Cc NyageiAzam wanaonyesha channel ipi nyagei
Sijambo binamu yangu unaendeleaje
Moyo una amani tu,una amani ya nini shem wange
amekuja leo amesema anaendelea vizuriMond toka aumwe tumbo sijamuona huku?
Any update?
ni wa iringa yy na shededeYeye sio mtu wa Iringa au China
swali zuri binamu...ni mtu wa wapi?
Nina amani sana leo
Praise the Lord Jorowe!
Shunie yeye huwa anaangalia recorded tu, bila kujua ni recordedKwa Leo sijajua nitafuatilia kisha nitakupa mrejesho
Ushapona mkuu?Habari wapendwa..
Mko poa mie naendelea fresh...
mm pia binamu naendelea vizuri sana namshkuru Mungu aliye juuNashukuru siku inaenda vizuri kabisa na nina siha njema, sijui wewe uliye mbali na mboni za macho yangu ila uko karibu kabisa mtimani mwangu.
ubarikiwe sna shemMoyo una amani tu,
Wasajili ila wasisajili hazardKweli maana naona benzema kachoka na morata ndo benchi imemwandama japo naona Madrid wanahitaji kuongeza kusajili viungo