shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Bukede [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]sawa shem wange nasubilia ata ukiona channel za Kenya au ug uniambie kwenye kingamuzi zipo
Bukede [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]sawa shem wange nasubilia ata ukiona channel za Kenya au ug uniambie kwenye kingamuzi zipo
mm pia binamu naendelea vizuri sana namshkuru Mungu aliye juu
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Nashukuru siku inaenda vizuri kabisa na nina siha njema, sijui wewe uliye mbali na mboni za macho yangu ila uko karibu kabisa mtimani mwangu.
Asante kwa picha bitoz
Pamoja sana wadauR.i.p Rashid
Asante Bitoz kwa picha
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]...vipi umeshukiwa na roho mtakatifu?
bukede ndio nn shemela [emoji134]Bukede [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji327] [emoji327] [emoji329] [emoji329] [emoji329] [emoji328] [emoji328]...vipi umeshukiwa na roho mtakatifu?
hahahah binamu ujue mama mchuchu katubadili sana yaan nipo hivyo ata kwenye majukwaa mengine jamaan mama mchungaji Mungu azidi kukuweka umetubadili sana...vipi umeshukiwa na roho mtakatifu?
Litakuwa jambo zuriAmezaliwa tarehe 4 na anapenda kuvaa jezi namba 4.
Jioni nikitulia naweza nikawaletea wachezaji mahiri na namba wanazipenda kuvaa.
binamu jaman ndio mana mama mchuchu anasema hamuelewi kabisa anaomba Mungu ampe mwanga ili azidi kumuelewa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Amen kubwaAmen mkuu mkubhi
Ubarikiwe
Mkuu hivi sasa napiga hata kandanda ..kwa kweli Mungu ni mkuuHivi mboga mboga amepona?
Mungu ni mwema siku zote [emoji120] ubarikiwe sana kwa kuponaMkuu hivi sasa napiga hata kandanda ..kwa kweli Mungu ni mkuu
Kama kawa, kwema??Du aisee
Niaje tetramelyz
Kama kawaida yangu siunanifahamu vzrPoa tetra za ww
Bukede TV ya Ugandabukede ndio nn shemela [emoji134]
Na tickets alikuwa nayo naniHii ndo inaitwa midadi
jamaa Wawili Walifika Steshen, Wakakuta Tren Ndo Kwanza Inaondoka, Wakaanza Kuikimbiza, Mmoja Akafanikiwa Kupanda Akaondoka... Yule Aliyebaki Akaanza Kucheka Sanaa.... Mpaka Machoz Yakamtoka Watu Wakamuulza, Unacheka Nini Sasa Wakat Umeachwa? Akawajibu; "kinacho Nichekesha Yule Aliyepanda Alikuwa Ananisindikiza.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwema, uko poa lakiniKama kawa, kwema??
ooohBukede TV ya Uganda