nimeangalia movie zake mbili ya neria na yellow card kipindi nipo kaduchuuu aisee itakua bonge ya movieJOHN RIBER
Nimepenyezewa taarifa kwamba kuna mpishi mpya wa movies toka Africa kusini aitwaye John Riber.
Habari nilizonazo ni kwamba kwa sasa yupo Morogoro wamepiga kambi wakipika movie mpya itakayohusu maisha ya wakulima na walanguzi wa mazao mhusika mkuu akiwa ni JB.
John Riber ni raia wa Afrika kusini ila yupo hapa nchini kwa miaka 12 sasa.
Ni muongozaji wa filamu pia ni mwandishi
Hapa na Gopal wakati wakichukua vipande kwenye filamu iitwayo Yellow card.
Kazi zake nyingine hizo
Tukae mkao wa kupokea kazi toka kwa gwiji John Riber.
Nyota wa Yellow card akiwa na tuzo
Nyagei ni shedede sio shedebe halaf ushazoea kumwita hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shedebe kazi anayo
BTW usiku mwema mkuu
ndio mana tunazililia point 3 masikini simba yangu
baba mchuchu umeamkajeBana ba Tanzanie nabasalimuni kwa jina la Nzambe.....baadae
asante shemela kwa magazetiSina la ziada kwa udhamini mnono wa wa shimba ya buyenze tukutane kesho tena kwenye magazeti hapa hapa makapuku
shikamoo mama mchuchu umeamkaje mama anguUbarikiwe mkuu Shululu uwe na siku njema asante sana
na ww umejuaje au na ww kama nyageiMkuu Nyagei, inaonekana una unakitanda humu, 24hrs hukosekani
Ameen mama mchuchu [emoji120] ubarikiwe sana[emoji524] ZABURI 68
19 Na ahimidiwe BWANA ,siku kwa siku hutuchukulia mzigo wetu;MUNGU ndiye wokovu wetu.
[emoji324] MUNGU ndiye kila kitu,ukitambua hili utatenda mema.
[emoji324] MUNGU wetu anatupenda,ni WOKOVU wetu,ni MWANGA wa maisha yetu
[emoji324]Tumtumikie,Tumfuate,Tumuombe,Tumshukuru yeye siku zote.
TUOMBE:
Mtakatifu,Mtakatifu,Mtakatifu BWANA MUNGU mwenye enzi,asante kwa kutufikisha siku ya alhamisi ya leo,wapo wengi waliotamani kuiona siku ya leo hawajaweza.
Tunajitakasa mbele yako Mungu wetu tukiomba usikumbuke uovu wetu wote,tusamehe Baba makosa yetu yote.
Asubuhi ya leo pamoja na nia zetu mbalimbali tunaombea
[emoji736] Mipango yetu yote.
[emoji736] Wagonjwa,wasafiri,wanafunzi wote hasa kidato cha sita waongoze katika mitihani yao.
[emoji736] Vijana wote walinde katika maisha ya ujanani ,wapate Elimu sahihi,kazi,mitaji,malezi,wake/waume,ushauri,Amani
[emoji736] Kusudi la maisha yetu.
[emoji736] Wafiwa wote wafariji.
[emoji736] Marehemu wote Raha ya milele uwape Ee BWANA,Mwanga wa milele uwaangazie ,wapumzike kwa Amani,Amen
Tunaomba haya yote katika jina la Yesu Kristo Amina.
MUWE NA SIKU NJEMA,MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Nyagei utamuweza, kumbuka jana ilikuwa birthday ya ChaplinNyagei ni shedede sio shedebe halaf ushazoea kumwita hivyo
R.i.p mshkaji wake nyageiNUKUU YA LEO
Movies are a fad. Audiences really want to see live actors on a stage.
Sinema ni mtindo, Watazamaji wanataka kuwaona wahusika moja kwa moja kwenye jukwaani.
Haya maneno yalipatwa kusemwa na mchekeshaji na mcheza filamu wa kiingereza Charles Spencer Chaplin maarufu kama Charlie Chaplin. Charlie alizaliwa 16 April 1889 katika viunga vya walworth kusini kwa jiji la london.
Charlie alizaliwa katika familia maskini na waliishi katika maeneo duni, wazazi wake walikuwa wote ni waburudishaji kwenye kumbi za miziki, baadaye wazazi waliachana na hapo ndio ikawa chachu ya charlie kuanza kuigiza kwenye majukwaa ya watoto akiwa na umri wa miaka 5 tuu.
Baadaye mama yake alifariki na ikabidi charlie akaishi marekani na kuanza kutengeneza filamu silent filming. alitengeneza kazi nyingi na kufungua kampuni yake binafsi, wakati huo alishakuwa star wa dunia tayari.
Charlie aliwahiwa kufukuzwa marekani baada ya uchunguzi wa FBI kugundua alioa wanawake wadogo sana na mtazamo wake wakupenda siasa za kikomunisti. Baada ya hapo Charlie aliienda kuishi Switzerland hadi mauti yalipomfika kwa ugonjwa wa kupooza.
Charlie aliacha watoto 11 aliozaa na wanawake 4, Bado hadi leo filamu zake zinauza na amebaki kuwa mchekeshaji mkubwa ambae alikuwa haongei. kwanza yeye mwenyewe ukimuona tayari unacheka tuu.
Nukuu ya leo, jamaa alitaka watu wapige live, leo hii ndio tunaita stand up comedy ya kina Mc pilipili, annie kaasiime na eric omondi.
binamu yangu shikamoo
baba paroko umeamkajeGoodmorning to you buddy
Pamoja sana shemela wangu wa ukweliasante shemela kwa magazeti
hahahah zitadumu kwa upuuzi wake tusiache kumuombeaJamaa linachukia matajiri ambao ndo watoa ajira wakubwa
Yaani sekta binafsi zinaenda shimoni mfano tenda za ujenzi hawapewi, sekta ya elimu Sizonje akiwa UDSM amevisimanga vyuo binafsi eti vijifie vinazalisha vilaza n.k
Huyu Rais ni mropokaji pia ana kauli chafu yaani anaongea tu km jenereta hagikirii kauli zake
.
Nafikiri nukuu zake zitadumu km za Nyerere ila sio kwa uzuri au ubora bali upuuzi wake
......
Hapo sasana ww umejuaje au na ww kama nyagei
fakalava upo miss u sijakuona mdaHamjambooni wadau wangu wa nguvu?
asante Mussolin kwa historia na Bitoz kwa picha mbarikiweLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Niaje shemelafakalava upo miss u sijakuona mda
eti ni kweli mama mchuchu mnakulaga mbwa [emoji134]Tupo mnyalukolo
Mungu yu mwema pole sanaHabari wapendwa..
Mko poa mie naendelea fresh...