Makapuku Forum

Makapuku Forum

JOHN RIBER

Nimepenyezewa taarifa kwamba kuna mpishi mpya wa movies toka Africa kusini aitwaye John Riber.
22716f26a0a5d808b99a493322a06cac.jpg

Habari nilizonazo ni kwamba kwa sasa yupo Morogoro wamepiga kambi wakipika movie mpya itakayohusu maisha ya wakulima na walanguzi wa mazao mhusika mkuu akiwa ni JB.
John Riber ni raia wa Afrika kusini ila yupo hapa nchini kwa miaka 12 sasa.
ab4089d4b5eb761eaf31be06ca135685.jpg

Ni muongozaji wa filamu pia ni mwandishi
7167f0421bc5b8ad271307588e3ad663.jpg
Hapa na Gopal wakati wakichukua vipande kwenye filamu iitwayo Yellow card.
e160d8cb6021022e33483c1ef407d7b2.jpg
Kazi zake nyingine hizo

Tukae mkao wa kupokea kazi toka kwa gwiji John Riber.
80adcbc49e205dab13681f72f6e719f0.jpg
Nyota wa Yellow card akiwa na tuzo
475311faa6055e9506904d6df0c28902.jpg
Afadhali pengine ataweza kuifufua Bongo movie yetu. Mdororo wake kwa kweli unasikitisha na kazi nyingi ni za kiwango cha chini mno. Halafu subiri sasa wakiweka subtitles za Kiingereza. Utacheka mpaka uvunjike mbavu!
 
Matokeo ya mechi zilizochezwa jana
Baada ya Ajax kumtandika Lyon 4-1
Juventus nae akajibu kwa kumchapa Monaco 2-0

Nauona ushiriki wa timu za ufaransa ukifikia tamati
a96cb357b34d967a01c18f046e2e99d7.jpg

ace85c1d53963caded20b67daf69bd3c.jpg
 
MITHALI 3

24 Ulalapo hutaona hofu,Naam ,utalala na usingizi wako utakuwa mtamu.

25 Usiogope hofu ya ghafla,wala uharibifu wa waovu utakapofika.

26 Kwa kuwa BWANA atakuwa tumaini lako,Naye atakulinda mguu wako usinase

NAWATAKIA USIKU MWEMA DAMU YA YESU IWAFUNIKE USIKU HUU NA SIKU ZOTE ZA MAISHA YENU MBARIKIWE
 
Ndo walivyozaliwa hivyo wanajisikia kawaida tu ni tofauti na kuzaliwa mzima halafu baadaye upate ulemavu

Wakiwa wadogo walitaka kifanyiwa operesheni kuwatenganisha ikadhindika maana wanachangia kiungo vingi
Mmoja akiumwa tu Malaria basihuumwa wote Hivyo hata kufa wanaweza kupishana dk 2 tu
........
Mungu awatunze,tuzidi kuuona utukufu wake...Mungu ni muweza wa yote
 
Mkistaajabu ya NkurunzIza mtayaona ya Sizonje
.....
Jamani ila mahousegirl kwakweli wanafanya kazi,tukubali tukatae,Mungu atadhihirisha..kwamba kapendelewa siamini...naona president kaona mchango mkubwa maana sidhani kama first lady anafanya kazi yoyote,hawa mahousegirl tuwachukulie kwa upendo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom