Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ya hapa hapa yanatoshaTuwage tunatupiamo magazeti ya leo hapa: https://goo.gl/photos/NivQSYthvCzgCgUv5
www.tanzaniampyamatukio.blogspot.com
Ya hapa hapa yanatoshaTuwage tunatupiamo magazeti ya leo hapa: https://goo.gl/photos/NivQSYthvCzgCgUv5
www.tanzaniampyamatukio.blogspot.com
Mkuu Nyagei, inaonekana una unakitanda humu, 24hrs hukosekani
Amen mama mchungajiZABURI 68
19 Na ahimidiwe BWANA ,siku kwa siku hutuchukulia mzigo wetu;MUNGU ndiye wokovu wetu.
MUNGU ndiye kila kitu,ukitambua hili utatenda mema.
MUNGU wetu anatupenda,ni WOKOVU wetu,ni MWANGA wa maisha yetu
Tumtumikie,Tumfuate,Tumuombe,Tumshukuru yeye siku zote.
TUOMBE:
Mtakatifu,Mtakatifu,Mtakatifu BWANA MUNGU mwenye enzi,asante kwa kutufikisha siku ya alhamisi ya leo,wapo wengi waliotamani kuiona siku ya leo hawajaweza.
Tunajitakasa mbele yako Mungu wetu tukiomba usikumbuke uovu wetu wote,tusamehe Baba makosa yetu yote.
Asubuhi ya leo pamoja na nia zetu mbalimbali tunaombea
Mipango yetu yote.
Wagonjwa,wasafiri,wanafunzi wote hasa kidato cha sita waongoze katika mitihani yao.
Vijana wote walinde katika maisha ya ujanani ,wapate Elimu sahihi,kazi,mitaji,malezi,wake/waume,ushauri,Amani
Kusudi la maisha yetu.
Wafiwa wote wafariji.
Marehemu wote Raha ya milele uwape Ee BWANA,Mwanga wa milele uwaangazie ,wapumzike kwa Amani,Amen
Tunaomba haya yote katika jina la Yesu Kristo Amina.
MUWE NA SIKU NJEMA,MBARIKIWE![]()
![]()
NUKUU YA LEO
Movies are a fad. Audiences really want to see live actors on a stage.
Sinema ni mtindo, Watazamaji wanataka kuwaona wahusika moja kwa moja kwenye jukwaani.
Haya maneno yalipatwa kusemwa na mchekeshaji na mcheza filamu wa kiingereza Charles Spencer Chaplin maarufu kama Charlie Chaplin. Charlie alizaliwa 16 April 1889 katika viunga vya walworth kusini kwa jiji la london.
Charlie alizaliwa katika familia maskini na waliishi katika maeneo duni, wazazi wake walikuwa wote ni waburudishaji kwenye kumbi za miziki, baadaye wazazi waliachana na hapo ndio ikawa chachu ya charlie kuanza kuigiza kwenye majukwaa ya watoto akiwa na umri wa miaka 5 tuu.
Baadaye mama yake alifariki na ikabidi charlie akaishi marekani na kuanza kutengeneza filamu silent filming. alitengeneza kazi nyingi na kufungua kampuni yake binafsi, wakati huo alishakuwa star wa dunia tayari.
Charlie aliwahiwa kufukuzwa marekani baada ya uchunguzi wa FBI kugundua alioa wanawake wadogo sana na mtazamo wake wakupenda siasa za kikomunisti. Baada ya hapo Charlie aliienda kuishi Switzerland hadi mauti yalipomfika kwa ugonjwa wa kupooza.
Charlie aliacha watoto 11 aliozaa na wanawake 4, Bado hadi leo filamu zake zinauza na amebaki kuwa mchekeshaji mkubwa ambae alikuwa haongei. kwanza yeye mwenyewe ukimuona tayari unacheka tuu.
Nukuu ya leo, jamaa alitaka watu wapige live, leo hii ndio tunaita stand up comedy ya kina Mc pilipili, annie kaasiime na eric omondi.
Karibu sanasanaAmen mama mchungaji
Ubarikiwe sana
kumbe tupo woteNJOMBE,ME MBENA
hawa waandishi wa hizi habar wameongwa na makonda waandike taarifa zake mbona walikaa wakajadili kwamba hawata andika habar kuhusu bashite "kweli nchi imeingia matope in chibu voice"
Na wanapatikana mbuga moja tu nchiniTongotongo la Asubuhi![]()
Simba mpanda miti
Sina hii ya Simba wanapatikana Tanzania pekee
Sasa mtu unaenda mbugani ukijua simba ujifovha tu kwenye nyasi hivyo kutembea kwa mavhale kumbe mnyama yupo juu ya mti anakuchora tu
Asubuhi njema
.......
kwakweli na magoli ya umuhimu wake sio zile pointi 3 tu leo yanga inatwaa ubingwa shauli ya magoli
Hongera Iron lady1979 - Margareth Thatcher anachaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa kwanza Mwanamke.
