Makapuku Forum

6/The Flu Pandemic
Unayadharau mafua?
Noma Hii ya mafua iliikumba dunia kati ya mwaka 1918 hadi 1919 yaani vinamaliza tu vita vya dunia halafu linakuja janga jipya
Iliua zaidi ya watu milioni 75 huku ripoti zingine zikisema milioni 100
India pekee walikufa milioni 16
Wahanga wakuu wakiwa watoto na wazee
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…